Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,934 Oct 1, 2016 #21 Slim5 said: Jina lako la kwanza kuna mtu anasumbua nalo jamii BUGURUNI. Sijui mnafahamiana? Click to expand... Haha hapana...
Slim5 said: Jina lako la kwanza kuna mtu anasumbua nalo jamii BUGURUNI. Sijui mnafahamiana? Click to expand... Haha hapana...
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Oct 1, 2016 #22 Baba tee yupo vizuri
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,629 Oct 2, 2016 #23 Ayo ndio mambo,sio kila siku bifu !
T tinkibiruka mhaya JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 929 Reaction score 794 Oct 3, 2016 #24 screpa said: Ukirudia tena inabidi huyo Alikiba akulipe, usikubali kurudia bure Click to expand... Aya screpa sirudiii tenaaaa hahahahahahaha ila mond ushampigia kura lakini
screpa said: Ukirudia tena inabidi huyo Alikiba akulipe, usikubali kurudia bure Click to expand... Aya screpa sirudiii tenaaaa hahahahahahaha ila mond ushampigia kura lakini
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Oct 3, 2016 #25 tinkibiruka mhaya said: Aya screpa sirudiii tenaaaa hahahahahahaha ila mond ushampigia kura lakini Click to expand... Naye anagombea?😱
tinkibiruka mhaya said: Aya screpa sirudiii tenaaaa hahahahahahaha ila mond ushampigia kura lakini Click to expand... Naye anagombea?😱
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Oct 4, 2016 #26 Kama kweli amesema hivyo basi jamaa ana hekima sana na Akili.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Oct 6, 2016 #27 scorpio me said: Haha hapana... Click to expand... Swadaqta.