Diamond ana haki miliki ya wimbo huu?

Diamond ana haki miliki ya wimbo huu?

jobseeker

Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
69
Reaction score
7
Ndugu zangu kwa muda sasa toka niusikie ule wimbo wa diamond nimpende nani nimekuwa na
hakika kuwa ameiba mapingo ya nyimbo ile kutoka kwa mpiga tarumbeta yami sax. Naomba
muusikilize huu muziki hapa halafu muniunge mkono au kunikosoa. Inaniudhi sana kuwa waimbaji tele
nyumbani wanajiita wasanii kumbe usanii wote ni wa kuiba iba nyimbo za watu tu. Link ni hii hapa:
Yemi Sax - E No Easy (Original by P-Square) - YouTube
 
Mbona mimi sijaona alichoiba zaidi nimesikia saxaphone yenye melody ya wimbo wa no easy ya psquare. Mimi nahisi umemix.
Gonga hapa P.Square - E No Easy ft. J.Martins (Video) - YouTube
 
mkuu hili nilikuwa sijui kabisa aisee ndio nimerudia rudia kama mara nne hivi ndio nikajua kuna midundo inashahibiana kabisa kwa watalaam wanaojua music lazima waseme jamaa amekopy melody ebu sikiliza vizuri na usikilize ya nimepende nani ya diamond kuna midundo inaingiliana kabisa bila kuficha sikiliza ya hiyo jamaa aliyetoa link yake hapo juu. sijui hapo nani wa kwanza kutoa kati ya diamond au p,square.
 
Back
Top Bottom