Diamond anaendele kunenepesha acount yake

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
huyu jamaa ana watu kila kona ya nchi hii,ndiyo maana CCM washashitukia hilo siku nyingii,so nao wanamtumia kwenye SHOW zao
ilikuwa ni leo kwenye mkutano wa CCM Moro.

Pumbafuuuuuuuuu_bad so to speak,....ila wewe kama kweli ni mwanaume ni mpuuzi sana,..yaani diamond hata akikohoa unatuletea hapa jamvini....????????????!!!!!!!!!!!
 
huyu jamaa anguko lake linakuja vibaya sana.......nilikuwa nampenda lakini baada ya kuendekeza sifa za kijinga.....amenitoka kabisa......kitendo alichomfanyia Wema.....naliona ni ----- la kupitiliza.......
 
Puuzi tu diamond!kanikeraaa mzalilishaji mkubwa.aombe msamahaa fans wake kwanza coz some of us katuboa
 
mmmmmmmmmhhh_kamfanyia nini tena bhana.
 
Lakn habari kama hizi hazijengi.humu ni the home of great thinkers.
 
huyu jamaa anguko lake linakuja vibaya sana.......nilikuwa nampenda lakini baada ya kuendekeza sifa za kijinga.....amenitoka kabisa......kitendo alichomfanyia Wema.....naliona ni ----- la kupitiliza.......

There is no lifetime champion kwenye dunia hii.

Diamond atashuka kipindi chake kikifika, lakini si kwa sababu ya kumrekodi Wema.

Sisemi kwamba Diamond alifanya sawa, ila pia na Wema nae kazidi. Ni kama wewe Preta umeeolewa afu ex wako anakufatafata, inafikia hatua anakupigia mbele ya mumeo, utafanya nini? Utamchekea ex wako?

Diamond is a human being, anafanya makosa kama binadamu mwingine. Hata ukipiga goti kuomva ashuke kimuziki, kama time yake bado itakuwa kazi bure.

Support his music, stop hating for no good reason.

Mwache dogo akamate chapaa.....
 
You sound like toy soldier.........!
 
Puuzi tu diamond!kanikeraaa mzalilishaji mkubwa.aombe msamahaa fans wake kwanza coz some of us katuboa

kamdhalilisha kivip?

Je nikikwambia kuwa Wema ndo alitaka kajidhalilisha utakataa?

Kwa kilichotokea pale Mlimani city kwenye show ya Diamonds are Forever, Wema alijifunza nini?

Sikatai unaweza ukawa bado unampenda ex wako na ungependa urudiane nae lakini ambacho naona sio sahihi ni approach anayoichukua Wema.

Kwanini asitafute muda mzuri wa kukutana na Diamond? Kwanini apige simu usiku wakati mtu yuko na mkewe? Alitegemea ajibiwe nini?

Hata ungekuwa wewe umetoka kuachana na ex wako few days tu afu unafanya show, unataarifiwa na waandaaji kuwa ex wako kanunua table ya mbele kabisa. Je kichwani kwako utakuwa unawaza ex wako ana mpango gani na wewe?

Wema alijua kabisa by then Diamond anadate na Jokate lkn before the show akaenda nyumbani kwa diamond ili waende wote kwenye show, bado unaona huyu demu ana akili kweli?

Mbona hatusikii hizi drama between Diamond na Jokate au mademu wengine aliowafyeka?

Hatujui Diamond kavumilia vituko vingapi toka kwa Wema mpaka kufikia hatua aliyofikia, lets give him a benefit of doubt.

Ila Wema ni kimeo jaman, anapenda sana drama ili azidi kuwa midomoni watu.
 
huyu jamaa anguko lake linakuja vibaya sana.......nilikuwa nampenda lakini baada ya kuendekeza sifa za kijinga.....amenitoka kabisa......kitendo alichomfanyia Wema.....naliona ni ----- la kupitiliza.......

aahh mi nahii miziki ya kisasa niko mbali kidogo hebu nijuze alimfanya nini wema au ni kule kumpiga kibuti?
 
Wema naye ni mjinga. Ni mjinga kwa sababu tayari alishaadhirishwa na Diamond pale Mlimani City mbele ya kadamnasi.

Angekuwa mtu mwenye akili angejiuliza - hivi huyu mtu mwenye uwezo wa kuniadhirisha hadharani namna ile, kwenye faragha si ndiyo itakuwa balaa?

Kwa watu wenye common sense kama mimi wala tusingejaribu tena ku-risk kuaibishwa tena na mtu huyo huyo. Hakujifunza mara ya kwanza sasa labda hii ya pili atajifunza. Mimi sina symphathy naye kabisa kwa sababu kajitakia mwenyewe.

You live and you learn.
 
tuache chuki binafsi, watu wanatumia totauti ya Wema na Diamond kupalilia chuki zao.na ukiangalia hao wanaodai kwamba Wema kadhalilishwa hawana lolote wanapretend wapo upande wake ilihali ni unafiki umewajaa.tuache kuchukia watu kwa mafanikio yao
 
I concur with you, sidhani kama Wma ana wema wowote wa ku deserve hii public sympathy kwa yote yaliyotokea.

Anapenda sana publicity stunt
 
Hivi Tanzania hakuna stalking laws.Huyu WEMA kutoka nilivyosoma story yake inaelekea yeye Wema is a stalker .Restraining order bongo Vipi? Maana what she did was a stalker syndrome she will continue to do that .Utakuta mbongo anaona ku hack emails simu ni normal .Diamond alikuwa ana haki ya kumrecord ushahidi labda.Stalking is a crime ,he should get restraining order .Wema was wrong mtu hakutaki ana girlfriend mjamzito please respect that .
 
tuache chuki binafsi, watu wanatumia totauti ya Wema na Diamond kupalilia chuki zao.na ukiangalia hao wanaodai kwamba Wema kadhalilishwa hawana lolote wanapretend wapo upande wake ilihali ni unafiki umewajaa.tuache kuchukia watu kwa mafanikio yao
Wema is a typical stalker ,she is on denial .Its over deal done ,wewe mwanaume sio wako wau uandike eti umechoka kuishi ufe tu .Stalkers are psychopath ,wanatishia kujiua na kadhalika .Huyu kaka ashasema anatarajia mtoto na girlfriend wake.
 
"Mbwam" in nigerian voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…