Diamond anahamasisha matendo ya laana

Diamond anahamasisha matendo ya laana

elcaptain

Member
Joined
Jul 7, 2014
Posts
95
Reaction score
106
Kwenye wimbo alioshirikiana na AY kuna mstari anasema '' singida-dodoma kitandani sodoma'' misho wa kunukuu

Karibun wana janvi tueleweshane kijana wetu alimaanisha nn?
 
sasa la kuambiwa changanya na lako... akisema hivyo ndo kakushika kukwambia fanya....

ule ni wimbo. upo kwa ajil ya watu wote.. wengine kwao hiyo sodoma ndio starehe na jambo la maana...
wengine ni jambo baya..

chamsingi chukua maneno mazuri..mbaya achana nayo...

make me sing......mapela
 
Wewe sikuliza beat basi.. Mombasa hayo mambo washayazoea
 
Kwenye wimbo alioshirikiana na AY kuna mstari anasema '' singida-dodoma kitandani sodoma'' misho wa kunukuu

Karibun wana janvi tueleweshane kijana wetu alimaanisha nn?
Mh muulizeni the boss lady hahahahaaa
 
Cna team mkuu, napenda mziki mzuri bila kujali kaimba nani. Naomba unieleweshe ni lugha gani
sodoma na ghomola!kama msomaji wa bible umeelewa ni mji tu
lakini wewe umefkiri vingine?
 
Nakubaliana na ww kwamba ni mji, lakin ndo uliopelekea kuwepo kwa neno sodomy

Sodomy means anal intercourse btn human beings, or any sexual relations between a human being and animal, the act which may be punishable as criminal offence.
 
Pengine kutafuta vina.

Btw, ndo nyimbo za kidunia zilivyo mradi imesound fresh
 
Kwani wewe hujui mambo hayo na kuyapenda kama binadamu wengine?
 
Back
Top Bottom