Diamond anaishi kama star wa majuu

Diamond anaishi kama star wa majuu

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Diamond ndie star wa kweli sio wengine kukesha na sisi club mpaka tunawachoka na wanakuwa si mastar tena juu yetu Fiesta lazima niudhurie kumuona mkubwa Chibu akifanya yake na T.I
 
Mmh kweli staa wa majuu hata mitaa ya sinza ni ya mastaa watupu promo yako nimeikubali ila bado hujanishawishi
 
Back
Top Bottom