jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,901 Sep 27, 2014 #1 Diamond ndie star wa kweli sio wengine kukesha na sisi club mpaka tunawachoka na wanakuwa si mastar tena juu yetu Fiesta lazima niudhurie kumuona mkubwa Chibu akifanya yake na T.I
Diamond ndie star wa kweli sio wengine kukesha na sisi club mpaka tunawachoka na wanakuwa si mastar tena juu yetu Fiesta lazima niudhurie kumuona mkubwa Chibu akifanya yake na T.I
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Sep 27, 2014 #2 Dangote atakuwepo kwenye Fiesta
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Sep 27, 2014 #3 Promo?????
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Sep 27, 2014 #4 BADILI TABIA said: Promo????? Click to expand... Habari ndo hiyo!
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Sep 27, 2014 #5 Tumesikiaa
S Showme JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 1,251 Reaction score 498 Sep 27, 2014 #6 Kwa hiyo tufanyaje??
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Sep 27, 2014 #7 Zamda Geuka said: Kwa hiyo tufanyaje?? Click to expand... Tufe..........
mke wa mkuu JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 634 Reaction score 277 Sep 27, 2014 #8 Mmh kweli staa wa majuu hata mitaa ya sinza ni ya mastaa watupu promo yako nimeikubali ila bado hujanishawishi
Mmh kweli staa wa majuu hata mitaa ya sinza ni ya mastaa watupu promo yako nimeikubali ila bado hujanishawishi