AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Hiyo unayosema kama shamba boy siwezi kuizungumzia sababu Sina uhakika nayo,ila hii ya boxer Mimi sioni kama mbaya coz jamaa anamwili mzuri tuu wa kufAnya modeling,huwezi jua walikubariana nini kama wahusika wa wasafi,mbona zikivaliwa tshirt za wasafi hAmsemi zinatumika vibaya?
Kwani hamlipi ujira wake?
Wakuu Harmonize ni msanii chipukiz ambaye nimetokea kumuelewa sana hivi karibuni na kibao chake "Aiyola",
Lakini tatizo huwa najisikia huzuni jinsi huyu kijana anavyotumiwa vibaya na Mondy, sababu kafanywa kama shamba boy pale madale.
Hiyo tisa, ya kumi hii ni kiboko, kumtumilia vibaya harmonize kwenye matangazo ya namna hii ya boxer za kampuni yako wasafi, mi naona ni undhalilishaji na sio kingine, hata kama mtu unamsaidia lakin hii hapana,
Kidingi ujinga kivipi wakati wanatangaza biashara na sidhani kama amefanya bila ya maelewano DIAMOND si mpuuzi wa kiasi hiko wala Harmonize si mtoto wakufanya vitu asijue anafanya nini???????Hayo mengine ya kutumiwa kama shamba boy Shardcole mpuuzi tu kaongelea chuki zake kwa Diamond...., Harmonize pesa alioingiza mpaka sasa ni mauzo ya aiyola mkito na ring back tunes ambayo ni ndooogo sana kusema imefikia hta gharama za video tu... kiufupi Diamond anamsaidia saana harmo
Ila hii picha ni ujinga mtupu
Nikweli mkuu!Sio kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu.
Ila Shardcole unadhurula sana mitandaoni, umeshaingia chama kubwa mapema kiasi hiko.Wakuu Harmonize ni msanii chipukiz ambaye nimetokea kumuelewa sana hivi karibuni na kibao chake "Aiyola",