Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi, leo haukumbushi?Chombo kwa hewa
amejamba au?
Hongera Kusaga
Mtakufa kwa chukiKusaga Ana mtafuna tu kama karanga
hahaa yaani tusiseme ukweli" basi tuna itwa hater's mbona mnakuwa kama misukule ya ontario wa forex nyinyiMtakufa kwa chuki
Hehee, Ontario ukiachilia mbali ubinadamu amesaidia vijana wengi. Forex ni biashara nzuri km ukifuata miiko yake.hahaa yaani tusiseme ukweli" basi tuna itwa hater's mbona mnakuwa kama misukule ya ontario wa forex nyinyi
Hahaa huo ubinaadamu sasa ndio niliokuwa nauongelea".. misukule yake ili sahau kuwa mentor wao ni binaadamu na yeye ana mapungufu yake"... so wakawa wana mtukana kila mtu aliyekuwa ana wapa ushauri "... Mwisho wa siku wakaja kubaini kwamba kusikia kwa kenge nimpaka atokwe na damu puani na kwenye masikioHehee, Ontario ukiachilia mbali ubinadamu amesaidia vijana wengi. Forex ni biashara nzuri km ukifuata miiko yake.