Diamond anaomba ruhusa ya kuwasha wasafi FM soon au tayari

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
908
Reaction score
1,350
Ana mbwembwe Sana uyu bwana,utashangaa sio leo wala kesho but let's wait,keep on searching.mimi niko milimani sijui mjini Kama kishanuka.
 
hahaa yaani tusiseme ukweli" basi tuna itwa hater's mbona mnakuwa kama misukule ya ontario wa forex nyinyi
Hehee, Ontario ukiachilia mbali ubinadamu amesaidia vijana wengi. Forex ni biashara nzuri km ukifuata miiko yake.
 
Hehee, Ontario ukiachilia mbali ubinadamu amesaidia vijana wengi. Forex ni biashara nzuri km ukifuata miiko yake.
Hahaa huo ubinaadamu sasa ndio niliokuwa nauongelea".. misukule yake ili sahau kuwa mentor wao ni binaadamu na yeye ana mapungufu yake"... so wakawa wana mtukana kila mtu aliyekuwa ana wapa ushauri "... Mwisho wa siku wakaja kubaini kwamba kusikia kwa kenge nimpaka atokwe na damu puani na kwenye masikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…