sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
WCB for life!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani namba moja kamzidi namba mbili 'dabo' duh!
Namba mbili na namba tatu wakiungana bado namba zao hazimfikii mtu wa kwanza.Yaani namba moja kamzidi namba mbili 'dabo' duh!
Ila madogo wamemgeuza Kiba kuwa underground, noma sana.
Lava ana hela zake nyingi mwaka huu.LAVALAVA AKIKAZA BUTI MWAKA HUU ANAMPINDUA KIBA KWENYE HIYO CHAT🤣🤣🤣
Rose Mhando anauwezo wa kupambana na top five pale kama akipata good management.Rose mhando ni diamond wa nyimbo za injili hana mpinzani
Kweli kabisa nimechukua ushauri wako 😂😂😂Pambana sana kijana, wbc watakuona na kukupa mchongo
Duh.....!Namba mbili na namba tatu wakiungana bado namba zao hazimfikii mtu wa kwanza.
Kiba shughuli yake imeshaisha.
Kajitahidi manake mpaka kamzidi Lavalava.Kiba chaliiiiiiii!!
Si anajilinganisha na Mondi huyo nyota ishafifiaaaa YooooooooooooohKajitahidi manake mpaka kamzidi Lavalava.
Ndiyo kwanza bado tupo January lakini Diamond platnumz tayari ameshatoa video bora ya mwaka 2024, kitu gani umekipenda kutoka kwenye hii video ya "yatapita".?