Diamond anaposema "bana choo" na "paka mate iteleze" unaelewa nini?

huo wimbo ni aibu kuusikiliza ukiwa na watu unaoheshimiana nao. haufai nashangaa vijana wanaupiga kwa fujo majumbani
 
"Vipi kuhusu wadogo zetu nao wanafaidi anasa itadhuru zaidi ya kansa,badilika sasa"
 
Bado hujajua kwanini nimeandika falasi badala ya farasi, wajuzi wakija watakwambia. Habari za ma scientist wako nenda kazifate jukwaa la elimu, hapa ni ubuyu tu mazerfaker

Bitoz Nyangema leo wataka uitwe Tupac!

Unafeli sana wewe Tupac wa kufoji!

Huna maana yoyote ya kuandika "falasi" ni kutokujua Kiswahili tu mwehu wewe!Kama una sababu itoe hapa,na kama unayo naomba nipigwe ban ya milele JF!Huna na hutaka uwe nayo mwehu wewe!

Wajuzi wa "falasi" na "farasi",nigga puliiizzzz,you are just shitting on yo'self Pac wannabe!People are that stupid like you kua wajuzi wa "falasi" na "farasi"!

Einstein unaesema hafai kua hapa,ni celebrity milion times over Diamond will ever be!Why don'chu run and give Diamond blowjob kama umekasirika sana?

Einstein is a global celebrity if you don know...na hili jukwaa ni la celebrities,he's rightfully here!

Ugoro wa maneno mabovu ya matusi aliyosema Diamond yanawapa ny**g* namna hiyo?Y'all bunch of niggaz wit'homo tendencies.
 
Tunaelewa kwamba Tanzania ya viwanja inakuja kwa kasi sana pale unapoona akili za vijana kama wewe unaleta post kama hii mbele ya watu wazima...huku sio Fb
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji109]
 
nadhani dogo ni mwanachama wa club de sodoma le gomola ndio lugha zao hizo.......we skiliza hata zile nyimbo alizoimba kwa kushirikishwa zigo na ay na kokoro ya rich mavoko.....lazima achomekee hivyo vipande vya kisodoma na gomola... ndio maana hawakai sana na yeye......
 
Kumbuka upo celebrities forum ,hayo mambo ya EINSTEIN nenda jamii intelligence utayakuta.
 
Okay, siku nyingine ukiona mtu kakuita falasi ujue alitaka kukwambia f@l@ wewe

Nakuhakikishia kuwa wewe ni college kid, unajihisi umemaliza kila kitu kuingia chuo. Pole sana mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…