nadhani dogo ni mwanachama wa club de sodoma le gomola ndio lugha zao hizo.......we skiliza hata zile nyimbo alizoimba kwa kushirikishwa zigo na ay na kokoro ya rich mavoko.....lazima achomekee hivyo vipande vya kisodoma na gomola... ndio maana hawakai sana na yeye......
Nigga,been on the street corner for 10 years now...did ma eng college since 2008!
Hakuna kitu f@l@=falasi,its an oxymoronic equivalence mkuu!
Cha ajabu unaweza ukawa mdogo wangu wa mbali sana!
But hey,we are just random internet characters in here,don take things seriously,who cares!
ni swaga tu mapenziniMsanii Diamond Platnumz kuna kipande kwenye wimbo wa kwangaru alioshirikishwa na Harmonize anamwambia mpenzi wake "abane choo" pia kuna kipande kingine anamwambia mpenzi wake "apake mate iteleze kama nyoka pangoni".
Ukiwa kama mdau wa muziki unaelewa nini maneno haya?