heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Tukimpigia kura anatupa ninii!!!?????
Tukimpigia kura anatupa ninii!!!?????
Na wewe unataka kitu kutoka kwa diamond?..subiri wema amalize zamu yake na wewe utapewa tu! si mpo kwenye foleni?
Sitaki kitu kutoka kwa domo sio hadhi yangu, ,,
heri mimi sijasema.
View attachment 154715View attachment 154716
kesho ndio mwisho wa ,upigaji kura
za tuzo za Kili,mpigie kura diamond mara nyingi uwezavyo
umhalalishe aweze kushinda tuzo zote 7...#team @wcb daima
(artwork zimefanywa na mim,na ikiwa unapenda kazi zangu.Nifate insta Kifesi
ama tuwasiliane 0762052850.