Diamond anatambuliwa kama mwanamke na channel hii ya kimarekani

Vizuri na kukosea kwao, kiki iongezeke azidi kupaaaa.

Uliwataarifu kuwa wamekosea ama?
 
Mtoa mada kweli haujatulia umeanza kufatilia mziki kipindi hiki cha kina young D na kina Yamoto,Diamond ni msanii mkubwa sana wa kike marekani yupo level za kina Trina,Eve E etc huenda walikuwa hawamzungumzii Diamond wenu huyo...Diamond wenu kaanza kujulikana mwaka 2009 wakati Diamond Rapper demu wa marekani ameanza kujulikana tangu mwaka 2004.
 
na walie muhoji pia alikua huyo dada?
 
Afadhali
 
Huyo aliyekuwa anaongelewa hapo ni diamond plutnumz...an artist from East Africa, Tanzania
Hata kama anaongelewa Diamond platnumz huyo mtangazaji anajua kwamba Diamond ni msanii wa kike kwa marekani.
 
Hahahahaha jf raha sana mie comment nimecheka sana
 
Hivi kwani mtu kuitwa mwanamke wakati ni wakiume ni kosa? kwani wanake si watu?
 
Hata kama anaongelewa Diamond platnumz huyo mtangazaji anajua kwamba Diamond ni msanii wa kike kwa marekani.
Sioni sababu ya wewe ku-try so hard kupinga that ni diamond huyu wa Tz coz wameandika from east africa,Tz......na kipindi alikua anaojiwa diamond huyuhuyu wa Tz.....na hapo bado mtangazaji alijua ni diamond mmarekani?...labda kama huyo mtangazaji ni bubu kwamba hakumwuona diamond...na kiziwi vilevile kwamba hakusikia sauti ya kiume!😵.....sa sijiu alikuwa anamuhoji vipi!
 
Weka clip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…