Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Atakuwa ndie anampeleka kwa Waganga ili azidi kung'araa
jf watu mko deep sana, kha! :A S 13: :A S 13: :A S 13:
:A S 13:
jf watu mko deep sana, kha! :A S 13: :A S 13: :A S 13:
Kumbe mbaya hivi? Hapa diamond akipiga namshangaa
kimfaacho mtu chake...
Kumbe mbaya hivi? Hapa diamond akipiga namshangaa
Bulldog, katika mapenzi kuna mambo mengi zaidi ya muonekano. Demu anaweza kuwa Mzuri lakini uki duu nae siku moja unafuta namba yake na kuiblock kabisa. Yaani unaona kama umerogwa vile kutembea nae. Ila anaweza kua lupita Nyongo lakini ngoma isambe ile mbaya. Kwa hiyo bulldog, temea mate chini kaka!