Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
-
- #21
ukaribu wa rommy na marehemu ngwea kwasababu ya NGADA,ukaribu wa diamond na rommy UNDUGU WA DAMU
heri ya huyo hata alionekana
jide naye kaishia wapi.
Umbea hauna kodi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Wabongo kujikweza booms!!!!!!
Mbona mnamuonea heaven on earth jamn,duh kila siku yeye tu
Heeee!!!! Kumbe na wewe unatoka Mbeya!?
naona unatafutia umaarufu jf mwana mtoka pabaya wewe
kama nakuboa si unatoka kimya kimya.......
umekaaga kishari shari tu sijui mijitu mingine ikoje
Ha ha ha mi nmejikuta nacheka tu!
!
Mmetoka mbali na huyu Warumi