Diamond angalia usirudie kosa hili tena kwenye biashara yako ya muziki.

Huo wimbo wa Bam Bam alimshirikisha Wema Sepetu?
 
Tatizo co alimeza maneno wanasema "wamoja kamwe avai mbili" kingereza amuachie R Kelly yy aimbe kwa kiswahili tu kwanza inawezkana kingereza chenyewe alikijui vizuri
 
Kupitia Diamond nimekuja kugundua muziki ni zaidi ya lugha,Kitorondo ipo juu kutokana na mdundo wake na kingine ile video yake ipo safi.
 
Kupitia Diamond nimekuja kugundua muziki ni zaidi ya lugha,Kitorondo ipo juu kutokana na mdundo wake na kingine ile video yake ipo safi.

Mziki sio swala lugha tuu!
 
Tatizo co alimeza maneno wanasema "wamoja kamwe avai mbili" kingereza amuachie R Kelly yy aimbe kwa kiswahili tu kwanza inawezkana kingereza chenyewe alikijui vizuri

Aiseee
 
Kupitia Diamond nimekuja kugundua muziki ni zaidi ya lugha,Kitorondo ipo juu kutokana na mdundo wake na kingine ile video yake ipo safi.

Ile ya bam bam mi nilikua nasikia michael jakson na philipines eyes sijui ninii
 
Nafikiri pia alivyotoa video imekaa mda ndo ametoa audio kidoogo ni shider.lakini my view on this bumbum kwanini aende kuimba kizungu huku hayuko comfortable?hio ndio sababu watu hawaujui wala kuupromote wimbo.unapromotije kitu hata hakiimbiki?na yeye nae hapa sijui alituonaje,producer nae akaweka hela mfukuni huku anahakikisha lyrics haziskiki...eeee aaa ye aimbe zake kiswahili basi tutapromote tu EA and Central ,west and south awaachie wanigeria
 
He isn't my taste...bwahahaa haya misukule yake muje kumtetea
 
Nadhani alifikiri kuwa kingereza ndicho kinaweza kumtoa kimataifa.
 
Ushauri mzuri sana,pia mimi sijaona sababu ya kuimba kiingereza kisa aliteke soko la nje...ninavyojua mimi hata shows anazopata huko ni za watz wenzetu,sasa kuna mtanzania asiyejua kiswahili???
 
Ushauri mzuri sana,pia mimi sijaona sababu ya kuimba kiingereza kisa aliteke soko la nje...ninavyojua mimi hata shows anazopata huko ni za watz wenzetu,sasa kuna mtanzania asiyejua kiswahili???

Yaaah! Njia ya nyimbo mbili itamuangusha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…