Watu wanamaudhi duniani!!! Baada ya fitina za kutompigia kura kumalizika KTMA baby kaona ampoze mchuchu kwa Lamboghin!!! Haya hizi hasira mkimkosesha na hizi za MTV naona baby atashusha Private Jet
Mimi jamani nimeambiwa kabisa na Daimond na zari wameaniambia wao wanabisha wabisheeee
rikizo = likizo... Kajifunze kusoma na kuandika kwanza QT ndio uje.
Ha ha ha mweh....Mie la saba mpwa...
Halafu kureasoan ndio nin??
Haaaaa usisahau kusoma gazeti la Raia Mwema...... Leo nimechekajeee
Ni mzigo kwa Taifa tangu awamu ya Nyerere tunapigana na adui ujinga wewe unashabikia kuwa mjinga? Msiba huu.
Khaaa Jamani wambea wenzangu nimewamiss. Haka ka upepo kataisha lini Sijui, kila Nikiingia humu naona Ni full kukurupushana na kulishana ndimu Hahahahah. No umbea tena mweee,....nimepita tu kuwasalimia na kwato langu Kama twangio.
ndiyoooo!!wajinga tena wajinga paseeeee!!!nashangaa wewe mwerevu unabishana na wajinga huoni na wewe unaingia kwenye ujinga??!!wacha tuwe mzigo maana tumeuchagua!!
Kutubadilisha hauwezi na ikiuma sana meza viwembe matola!!
Haaaaaa pia aende kwa Ras Simba
hao wenye akili zao bado Wako humu nafurah tumewatekaaa heeeeheeiyaaaaaaaaa
Eti wanasema hiyo ni photoshop hahah Lamborghini imewapa makengeza.
Hahahahaaa uwiiii! Umeua aiseee.
Khaaa Jamani wambea wenzangu nimewamiss. Haka ka upepo kataisha lini Sijui, kila Nikiingia humu naona Ni full kukurupushana na kulishana ndimu Hahahahah. No umbea tena mweee,....nimepita tu kuwasalimia na kanyagio langu Kama twangio.
Haaaaaa pia aende kwa Ras Simba
usijichoshe kuandika gazeti waache wao waandikeee banaa,hebu subiri nipokee simu Daimond anapiga
Ha ha ha weka ushahidi hapa nataka kuanza kuraeson ​u know?Mimi jamani nimeambiwa kabisa na Daimond na zari wameaniambia wao wanabisha wabisheeee