Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Gari itatokea kwenye kideo cha Yamoto band, clio ya kutangaza kazi imerushwa instagram.
 
hhhhaaaaaaaaaa mamaeeee humu full kuchekaaaaa tu

Yani Mimi Nipo tu Huku nacheka sina mbavu, siamini Kama ule Umoja we wambea umekwenda likizo. Sio kwa makavu mnayopeana, wenye roho ndogo tungekuwa tushalia. Mpunguze basi kuchambana Jamani lol
 
nifah nasubiri kuona comment yako, juz umewakimbiza watu jukwaan....leo wamerudi,

Hahahahaaa, chezea mimi wewe? Watu walijipa likizo ghafla.
Hata hivyo leo nina majembe yangu hapa nimeishia kucheka tu hadi kichwa kinauma.
 
Last edited by a moderator:
Yani Mimi Nipo tu Huku nacheka sina mbavu, siamini Kama ule Umoja we wambea umekwenda likizo. Sio kwa makavu mnayopeana, wenye roho ndogo tungekuwa tushalia. Mpunguze basi kuchambana Jamani lol

kama we ni mgenu hautujui humu utaandika mno magazeti humu lakin tunaojijuaa humu alaaaa wacha sebene lizidiii mi mwenyewe nachekaa balaaa huku nilipo
 
Hahahahaaa, umbea uko likizo shoga..
Hapa tunajichekea viroja vya wakurupukaji....
Khaa yani naona full mvurugano, kama mlikuwa hamshirikiani kwenye umbea vile. Anyway Ni ka upepo tu katapita, na umbea utarudi Kama zamani. Me naogopa hata kucomment, hukawii kupewa Bango lako humu ukajikuta unalia peke ako hahahah
 
Wachawi na huku wamefika hahaahh jamani anawaumiza huyu yaani hawapumui .
Basi ndo watavimba balaa hahahaahahah

Jamani waacheni watu na bidii zao nyie na wafalme wenu mfanye yenu.

shangaaa mkuu!!tena wanawanga hata usikubwa manane bado haujafika!kam sio shobo kishindo ni nini??
 
Hahahahaaa, chezea mimi wewe? Watu walijipa likizo ghafla.
Hata hivyo leo nina majembe yangu hapa nimeishia kucheka tu hadi kichwa kinauma.

aaaaaaa nifah wataje waliojipa likizo banaaaa,mi nakuambia gari ni la dimondo napo Mie huniaminiii
 
kama we ni mgenu hautujui humu utaandika mno magazeti humu lakin tunaojijuaa humu alaaaa wacha sebene lizidiii mi mwenyewe nachekaa balaaa huku nilipo

Hahahah me nishawazoea, nabaki tu kuuguza mbavu zangu. Ngoja niendelee kujichekea mie niongeze siku za kuishi. Yani hizi siku 2 mmenipunguzia stress Kabisa mwee
 
Wachawi na huku wamefika hahaahh jamani anawaumiza huyu yaani hawapumui .
Basi ndo watavimba balaa hahahaahahah

Jamani waacheni watu na bidii zao nyie na wafalme wenu mfanye yenu.

humu wachawi wengi balaaaa ila tumewazoeaaaa ndio maana wanatokwa makamasi
 
Attachments

  • 1434477749686.jpg
    28.1 KB · Views: 149
  • 1434477762778.jpg
    8.2 KB · Views: 144
  • 1434477775612.jpg
    8.8 KB · Views: 139
  • 1434477787395.jpg
    7.6 KB · Views: 135
Hahahah me nishawazoea, nabaki tu kuuguza mbavu zangu. Ngoja niendelee kujichekea mie niongeze siku za kuishi. Yani hizi siku 2 mmenipunguzia stress Kabisa mwee

mamaee utulipee sasa kumbe tunawapunguzia stress tena tulipenii alaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…