Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Ukisikia ujinga ndio huu ujitekenye mwenyewe ucheke mwenyewe na kujijambisha ujijambishe mwenyewe na dole ujizamishe mwenyewe! Mnatia aibu.
Matola acha hizo maambo aisee, unarusha maneno makali sana, by the way mimi sina team.
 
Last edited by a moderator:


yaan humu jf sijaona wa kumfikia kiakili Daimond,badoooooooo
 
dina unanivunja mbavu wallah tena!wanaleta unafiki wao hapa nani hajui kama hata wao ni majinga!?
Kuna ujinga mkuu duniani kama kumpigia kura mtu wa nje na kumuacha mtz mwenzako?

Wnajifanya wabishi tu na kura wamempigia diamond.
 
Techno wameleta janga. Yaani vina matusi kama ndo vimebalehe muda si mrefu :becky::becky:.
Matusi yenyewe matusi sasa aaaaggrr ni ujinga ujinga tu afu vikimaliza vinaitia kaneno "upo hapo" ukiona mtu ana kineno cha hivi ni kiproduct cha mlugo tu division two ya point 50 pita tu usiongee nae heshima yako ikashuka
 
blah blah blah just answer a simple question.....utaratibu wa kampuni uliofanyia kazi ndio utaratibu wa dunia nzima?? nimefanyakazi sana kwenye car rentals nazijua inside out.

Haya tueleze utaratibu wa hizo car rentals ni Zari tu ndio anayekodishwa?
 
Yaani leo ninafuraha ya ajabu!!kama ameweza kumpa hilo shavu lenye mtonyo wa maana!atashindwa nini kumzalia mtoto

Nakwabia leo watu vinyeo juu hata kinyesi hakitoki!!!

Ungeniona mie basi furaha niliyopata hadi raha kwa kweli, watu wamechanganikiwa hadi wanatangaza nia jioni hata hawakusubiri wakati wa asubuhi wapate promo haraka.

Mtoto wa Tandale kaliweka litokee kwenye kideo cha Yamotoband
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…