Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Naona umehamia google ha ha ha mara ugoogle magorofa mara magari lol leo utaota Lamborghin

Labda unanifananisha, hapa tunaweka kumbukumbu clear, maisha yangu ni yangu wala cha mtu sitamani pale aluponijalia Mungu nashukuru sana, mimi mwenzako hata nikifikia uwezo wa kununuwa hayo Malambogini nitapeleka cash yangu kunnunuwa matrekta na matrack, usidhani kila mtu ana akili za kitamthilia.
 


yaan penda Sana wewee,,,,penda unapopendwaa aiiiiiiiii,pamoja sanaa
 
Last edited by a moderator:


tumekusikia ukitaka kulala unywe maji lita 2 ,utalala vyema hutaota lambojin tu
 
mkuu inaonekana wewe ni mmojawapo ya walioumia kupata hizi taarifa at first. Swali je ikiwa kweli ni lake itakuaje?

Wewe chizi nini? Kwani Diamond hana gari? Tena amelipia milioni 5 kuandikwa jina lake kwenye plate number, mimi nimchukie Diamond kwa lipi? Ana maisha yake nami nina yangu, hapa tupo kwenye kuonesha batwili ipi na kweli ni ipi baaasi nothing special, hapa siyo huko mlipozoea kudanganyana hapa tunakwenda kwa fact na vivid evidence. Umenuna?

Hivi hizi thread zitasomwa miaka na miaka na watu watakuwa wanapata reference humuhumu hata zikianzishwa tuzo za msanii wa fix vijana watakuwa hawapati tabu kupekuwa maktaba.
 
hahaha kabisa jinsi watu wanavyocomment humu unafeel kabisa wanavyoumia unajiuliza sasa huo usiku watalala unono kwel?


yaan mi Leo ntalala unono aiseee kwa hayo magazetiii SI utaniio
 
Dina anakuambia google na vikombe na masahani ha ha ha
 
ila unafikiri watavote kwa muda mrefu. Wataacha tu. Maana negative energy itawashinda na watasahau habari ya ku vote watabaki kelele. Meene ku vote persistently lazima uwe motivated na positive energy. Ukienda na negative energy ni kama unachota maji bombani unaenda kumwaga baharini. Kwa hiyo kama unaelewa sailkolojia unawapuuza tu kama wapuuzi wanaojaribu kuzuia mafuriko kwa mikono:becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…