Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

we mkeo unamumhudumia saa ngapi muda wote upo umbeani tunashinda wote,ukinipa jiby ndio jibu
 
Ngoja nidisconnect internet kabisa nisipate notification.
Rais wa wabeba mabox Nyani Ngabu akifurahi atakupa tafsiri ya kupiga box.
Adios.

sihitaji tafsiri yake,naelewa Sana ndio maana nakuambia usichukulie kila kitu siriaz
 
Last edited by a moderator:
Assume next year Kiba yupo MTV, hatahitaji kura za Team Diamond ? Mi simpenzi wa muziki kihivo, ila naona dalili za kudidimizana.

Kiba Team na Team Diamond bila uzalendo mtakua mna badilishana zamu ya kuumizana wenzenu watawacheka.
 
waombe sanaaa asiitwe tuzo yoyote ya nje,lazima tulipe
 
aitwe tuzo za kimataifa kufanya nini....labda aje kuigiza The Gods must be crazy kama pacha wake
 
Hivi unadhani aliyetuita Wadanganyika alikosea?

Maana huhitaji kwenda mbali kuliona hilo....shinda masaa machache tu humu, bingo!

Cha ajabu mlio na akili nao mmekomaa kujadil na wajinga..!! Au ndo akili za kupanda juu ya mwembe kuona kama embe limeiva kisha unashuka chini kuendelea kulipopoa...?? Mxuuuuiiiiii...
 
We huoni huo "ushamba" wake ndo umekufanya we uandike hilo gazeti?? Mh, mwerevu.. yuko busy kujadili ushamba... Majanga...
 
kwa hiyo shem zari kamuwezesha dogo japo kupiga picha na huo mkoko wa watu.alafu usikute mwenye ndiga anamega mzigo vile vile kisela.tunachekwa wabongo na staa wetu ngololo:alien:
 
Mwenye gari na gari lake lol....
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1434500644.329762.jpg
    63 KB · Views: 177
Assume next year Kiba yupo MTV, hatahitaji kura za Team Diamond ? Mi simpenzi wa muziki kihivo, ila naona dalili za kudidimizana.

Kiba Team na Team Diamond bila uzalendo mtakua mna badilishana zamu ya kuumizana wenzenu watawacheka.

Tena dada yake kiba yumo humu cute b ndio anaongoza promo ya kuomba watu wawapigie kura wanigeria. So hii inaonyesha issue hii ni kubwa katika familia ya kiba kwa kuumia kuona Diamond anafanikiwa wakati wao wamekaa chini hawaji na kitu chochote kipya.
dadake alijisema kuwemo siku nyumbani kiba kadai kaibiwa chezea maneno ya wadau humu kutetea kitu akajisema.

Kitu hiki hata Diamond akiacha muziki kesho wanategemea kiba atapanda kuwa yeye? Kwanini hawajipaishi nao wapae na sio kwamba nafasi hakuna, maisha yake kwenda USA anadanganya na picha anaomba kupiga 1st class huku kasafiri economy maisha feki feki kisa awe Diamond. Tuzo wamepata bado kuungilia MTV kuomba watu wasimpigie kura.

Hii ya wema na kiba kusapoti watu watumie majina yao kuomba kura wapigiwe watu wa nchi zingine, wameenda mbali na wivu, wanaweza kutoa roho ya mtu, khaaaaa. Inabidi ujumbe waandike kuwakataza. Wanatutia aibu wa Tanzania wanategemea kwao wao haitakuwa hivi? If yes wanaota. T 4 T
 
Cha ajabu mlio na akili nao mmekomaa kujadil na wajinga..!! Au ndo akili za kupanda juu ya mwembe kuona kama embe limeiva kisha unashuka chini kuendelea kulipopoa...?? Mxuuuuiiiiii...

Aaaaagh

Umbeya na udaku wanaupenda, ila hawataki kujiachia kuwa free wanaweka mizengwe ka vile wamepita bahati mbaya.

Bora wakubali kama akina sie tunataka kucheka, kujua, kuburudika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…