Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Aisee ni noma.. Atafanya watu wakeshe leo wanapiga kura kwa Davido, hahah natania jamani.. Hongera kwake kiukweli ni jambo la kheri hili.

Hahahahhahaha true wala si utani ivo
 
That Chick is playing to win man, now our boy gotta top that soon as she brings the little one to this world, i just hope she's genuine.

On another note, keep voting, Kenyans are pushing their Sauti with all they've got. Lets do it for us.
 
Naanza biashara ya kuuza malimao wadau!!

Malimao yanawahusu wengi maana wataanza kutunga hadi vitabu juu ya zawadi hiyo, wenginr hata kimombo watajifanya hawajui kusoma.
 
Soon na ye ataitwa fisadi kama Lowassa, maana wabongo wanavyouchukia utajiri hadi raha...hehe
 
Umeshafika teh teh teh

waulizia hilo kwa nifah,
hana la kufanya tu lakini huko kuroho kwamkereketa mbaya!!!!
hapendiiiii,kachukia hadi kichwa kinauma.
Ila huu mpambano mzuri kweli ila mwisho wa siku kuna watu watakimbia mjini...
am just saying😀
 
Aisee ni noma.. Atafanya watu wakeshe leo wanapiga kura kwa Davido, hahah natania jamani.. Hongera kwake kiukweli ni jambo la kheri hili.


yaan ndio watapiga mno kuraa waombe Sana Daimond akose hatapakalika humuu
 
Teh teh teh teh wale wanaoupenda umaskini watapiga mayowe sana.. Watakwambia wote tutafukiwa na mchanga, watasema Vits na Porsche ni sawa tu.. Wakishindwa sana watasema Porsche ni gali za mademu teh teh


hhhhhaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…