Diamond aonesha mzigo wa fedha. Waliomuacha watakuwa wanasikitika

Diamond aonesha mzigo wa fedha. Waliomuacha watakuwa wanasikitika

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,095
Reaction score
22,731
I can only imagine hali ya mwanamke aliyemchomolea diamond back in the day...

Ata mimi huwa na imagine hawa mademu wanaonichomolea Mimi sa hv...na wengne kuniita Mi msumbufu sana, baada ya miaka mitano mbele hawajui tu jinsi ntakavyo kuwa..

Ila huwa nawaambia tuu dunia inazunguka...
 
Ni kweli diamond ni mchapa kazi na rolemodel wa wengi. Kila mtu anajua huyu jamaa anapesa zake ila kila mara kuringishia watu hela mtandaoni kanakwamba sio mzoefu wa Mlimiliki hela nyingi hivyo anataka watu wajue ,...huo ni ushamba.

diamondplatnumz
fanya uji-update version unayotumia imeexpire.
 
Tangazo la Biashara ya Benki husika hapo.
 
I can only imagine hali ya mwanamke aliyemchomolea diamond back in the day...... View attachment 1618814
Mzee Baba Pesa inakupa pisi yoyote kali unayotaka.

Ila haiwez kukupa Pisi makini inayoamin katka maisha yake yenyewe.

The acha kushangaaa izo.. Kuna sehem inaitwa KAHAMA ..GEITA ... Nenda huko uone machalii wanavyomwaga mipesa kila siku imeshindiliwa kwenye hii mifuko ya sukari ya kilo 50 .

Tuendelee kutafuta Pesa... Hawa kazi yao nikutufanya mioyo iume ili nasisi tuzidi kutafuta.

PESA nayo kama husaidii masikin, Yatima, wagonjwa ni Sawa na bure... Utakufa watu tunabaki tunazipiga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli diamond ni mchapa kazi na rolemodel wa wengi. Kila mtu anajua huyu jamaa anapesa zake ila kila mara kuringishia watu hela mtandaoni kanakwamba sio mzoefu wa Mlimiliki hela nyingi hivyo anataka watu wajue ,...huo ni ushamba.

diamondplatnumz
fanya uji-update version unayotumia imeexpire.
Aisee unamkwaza innocent dependent unavyokua unanena maneno haya kwa Mond ake.
 
Back
Top Bottom