Diamond aonesha mzigo wa fedha. Waliomuacha watakuwa wanasikitika

nakazia
 
Sio kuringiahia anakupa jasira kama hivi halafu anakupa somo kuwa hata wewe unaweza halafu baada ya hapo unaanza kuchapa kazi.

Hizo ndio kalipwa baada ya kampeni nini? 😁😁😂😂
 
I can only imagine hali ya mwanamke aliyemchomolea diamond back in the day...... uView attachment 1618814
I can only imagine hali ya mwanamke aliyemchomolea diamond back in the day...... View attachment 1618814
umeshamwona Bakhresa,Marehem mzee Mengi,Mmiliki wa OilCom,Mo au mmikiki wa Precision air akionyesha hela kama hivi???
Kwenye Dunia ya wenye fedha huyu anaonekana ni Limbukeni na sio mjanja au tajiri.. real money dont make sound...ni vijicent ndo upiga kelele.Akikuwa ataacha
 
Niungane nawe, huu ni ushamba! Au sijui ulimbukeni au labda utoto! Au ndiyo tabia zetu za uswahili.

Kaenda benki na mtu amrekodi na maburungutu, ili ajipost aisee!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mwana FA tafuta pesa ila usipige nazo picha. Kupiga picha na Ela ni umaskini inaonekana umepata Ela ki makosa. Umewah kumuona Bakharesa kapiga picha Ela zake, au billgate?

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 

50 cent na pesa zake zote alienda Southern France akakutana na ma don yakawa yanauliza “huyu ni nani “ yani kuna mijitu ina pesa kiasi kwamba hata haimjui 50 cent alafu anakwambia “sikujali hata kwa sababu kama ni pesa hata mimi ninazo”. hii inaonesha kwamba matajiri wakubwa wengi hawaishi maisha ya kuonesha pesa zao kiasi kwamba wapo watu wana hela kuliko hawa tunaodhani sisi kwamba ndio matajiri
 

akikua ataacha,Time ina mengi kuna majuto nk .ukimsikiliza Mike Tyson anasema ma mikanda yale aliyokuwa akipata hayana thamani tena kwake japo ni ya bei ghali, enzi za ujana wake alikuwa ananunua gari sita kwa wakati mmoja na kuvaa saa za almasi sasa hivi anasema ule ni utoto na amebadilika hata jack chain nae anasema hivo hivo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mujib wao, kipi Cha thamani?
 
Kaka kuna kadi za Visa zinaitwa Platnum Credit Card(kama anavojiita) bank yako ikikupa hii card kwa hapa Tanzania ,unauwezo wa kutoa pesa taslim mpaka million 70!!.Pia ina benefits nyingi sana. hoteli nyingi ukiwa nayo menaja wa hotel lazima akuone 😁kama mjanja na anazo hela atuonyeshe hii kadi,kidogo ntaweza amani kuwa ana pesa.
 

Attachments

  • Screenshot_20201104-214040.png
    24.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201104-214040.png
    24.9 KB · Views: 1
  • images (6).jpeg
    30.1 KB · Views: 1
  • images (5).jpeg
    10.2 KB · Views: 1
Kizazi cha kina tyson na jack chain sio sawa na cha sasa...kizazi cha sasa wengi wanajitambua, wanakula bata ila wanawekeza pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…