She or male!!Are you ke/me??
Huo ndio ushauri tusioutaka!! Kuonyesha ufahari wa magari ni ujinga, gari sio asset ni liability!! Aendelee kuwekeza kwenye asset namna hiyo hata siku akishuka kwenye mziki ana uhakika wa maisha na urithi kwa mwanaye.. Sio kuendesha Lamborghini alafu hujui keshi yako ikojeTs gud,but Diamond sasa anahtaj gari la kifahari zaidi.Nadhani kwa sasa yeye ndo msanii pekee wa A -List Africa anae-push mkoko cheap zaidi ukilinganisha na wenzake.
Nakumbuka Ali alipopewa ile nyumba akae kwa muda ilikuwa full mipicha mtandaoni.... mwenyewe amesema hajengi nyumba mpaka aoe kwanza hahahhah, huyo ndio kingi..ikiwa mtu hajaamua kuweka vitu vyake wazi haimaanishi kwamba hana, mbona hesabu simpo tu hiyo, au mnataka kila mtu awe kama d
Kilichokufanya ufungue uzi usome ni nini wakati unajua haikuhusu??Sasa ina tuhusu nini
Maisha ya ki-star ni tofaut kidogo na haya ya watu wa kawaida.Huo ndio ushauri tusioutaka!! Kuonyesha ufahari wa magari ni ujinga, gari sio asset ni liability!! Aendelee kuwekeza kwenye asset namna hiyo hata siku akishuka kwenye mziki ana uhakika wa maisha na urithi kwa mwanaye.. Sio kuendesha Lamborghini alafu hujui keshi yako ikoje
Kilichokufanya ufungue uzi usome ni nini wakati unajua haikuhusu??
mbona a.k.a anasukuma bmw x6 tena kainunua juzi tu na anayo bmw x5Ts gud,but Diamond sasa anahtaj gari la kifahari zaidi.Nadhani kwa sasa yeye ndo msanii pekee wa A -List Africa anae-push mkoko cheap zaidi ukilinganisha na wenzake.
Kama ni kujiweka katika mwenekano wa kistar Dee anajitahidi.. Si unacheki minjino ya dhahabu pale kati, micheni ya almasi ya dhahabu na almasi, misaa ya gold etcMaisha ya ki-star ni tofaut kidogo na haya ya watu wa kawaida.
Ni kweli kuwekeza ni muhimu lakn pia ukubwa wa msaanii unapimwa na vitu kama hivyo.
Hii formula inatumika dunia nzima.Huwez kuwa star mkubwa na ukawa unasukuma Spacio kwa madai ya kwamba umewekeza kwenye nyumba.
Diamond anahitaj gar ya kifahari kwa sasa.
Memba wa JF.. 'haki yangu ya msingi' kama memba..We inakuhusu nini mpaka unijibu we ndo msemaji wa Ndomo??
Unafanya nini hapa badala ya kwenda kufanya kazi [emoji57]Mkuu wew umeongeza nini.
Aaaaaah umeongeza post, hongereni wote,
Vijana tufanyeni kazi
Sasa tunaanza kuelewana.Meno,cheni,saa n.k including what u drive,unaishi wapi na life style yako ndo ustar wenyew huo.Kama ni kujiweka katika mwenekano wa kistar Dee anajitahidi.. Si unacheki minjino ya dhahabu pale kati, micheni ya almasi ya dhahabu na almasi, misaa ya gold etc
Kuhusu gari nadhani mwenyewe ndoto yake ni kununua gari flani hivi ya Rolls Royce huwa anapenda sana kuitupia kwenye mtandao.. Ila so far mimi namsifu angalau anafanya vitu vyenye akili kuliko kuendesha Ferrari alafu kesho kutwa unaumwa unatuomba michango kwenda india
Nipo kazini mi mlinziUnafanya nini hapa badala ya kwenda kufanya kazi [emoji57]
nilijua utamuingiza ali wakati post haimuhusu, teh we jamaa bhana, ushabiki wa namna hiyo sidhani kama una tijaNakumbuka Ali alipopewa ile nyumba akae kwa muda ilikuwa full mipicha mtandaoni.... mwenyewe amesema hajengi nyumba mpaka aoe kwanza hahahhah, huyo ndio kingi..