Diamond Aongeza Nyumba nyingine

Mi nadhani itakuwa vyema akawekeza katika sector nyinginezo kama utalii,madini au kilimo ili aweze kupata pesa nyingi zaid maana kwa nyumba anazonunua return yake haiwezi kumfaidisha kwa kiasi kikubwa.

Rejea kwa masanja mkandamizaji
 
Hivi ile hotel moja ipo Mtwara mjini siyo yake maana hata jina limekaa sawasawa. Inaitwa TIFANY DIAMOND HOTEL ni ya ghorofa 4. Maana kwenye jina hapo kuna jina la mtoto pamoja na lake la kazi.
 
Hivi ile hotel moja ipo Mtwara mjini siyo yake maana hata jina limekaa sawasawa. Inaitwa TIFANY DIAMOND HOTEL ni ya ghorofa 4. Maana kwenye jina hapo kuna jina la mtoto pamoja na lake la kazi.
Hahahaha! We unaota ww. hahahaha! Uwiiiii!
 
Hongera zake.........ila dah akatafute plot mahali ajenge nyumba ya ukweli......garden ya maana.....playing ground za kutosha......

Damn my dream house.
Swadakta,hata mimi nina mawazo kama yako ,ningekua mtu wake wa karibu ningemshauri hivyo kwani hata ukilinganisha ukubwa wa jina lake na hizo nyumba alizo nazo ana haki ya kuziita kibanda kwani ukilinganisha na nyumba za wasanii wengine wa afrika mashariki,kwa mfano Jose Chameleone au hata yule eddy kenzo ana bonge la ghorofa la ukweli kushinda hiyo inayoitwa ikulu huko madale,japo anajitahidi kuwekeza lakini nadhani jina lake ni kubwa so anapaswa kufanya mambo makubwa kuendana na jina lake.
 
I love them ...but I just don't understand why they're having such a problem finding the house when they can have something built from the ground up that is their dream house with as much money as they have!!! Wish it. Had that problem!!
Hata mimi nashindwa kuelewa kwa kweli.
 
Hongera zake.........ila dah akatafute plot mahali ajenge nyumba ya ukweli......garden ya maana.....playing ground za kutosha......

Damn my dream house.
Kwa pesa alizokua nazo si wakununua nyumba bali kujenga. Tena unatafuta kiwanja kikubwa sana magarden ya kutosha viwanja mbalimbali na ma swimming pool halafu ndio apaite state house
 
Ngoja na mimi nianze kuimba
 
Kwa pesa alizokua nazo si wakununua nyumba bali kujenga. Tena unatafuta kiwanja kikubwa sana magarden ya kutosha viwanja mbalimbali na ma swimming pool halafu ndio apaite state house
Mahali kwingi duniani, masupastaa hawajengi nyumba bali hununua ambazo tayari zishajengwa. Kujenga kuna adha yake mkuu. Watu tunajenga kwa kuwa pesa yetu tunaingiza kidogo kidogo. Mie nipate mkwanja kwa mkupuo sitaki mambo ya kuhangaishana na mafundi.
 
Ivi lilee garii alilonnunuliwa na Wifi yetuu Zarii bado lipoo??nitashukuru ukinijibu ukishindwa hata WARUMI ajibu Maana Najuaa hawezi kosa
 
[/QUOTE]
Mama kakaba tena, aisee inabidi maza apangiwe kitengo bana maana hii hatari.
Kwa utajiri huo mama ni wa kukaa nyumbani apike vile vyakula ulipenda utotoni baaass
 
Kwa pesa alizokua nazo si wakununua nyumba bali kujenga. Tena unatafuta kiwanja kikubwa sana magarden ya kutosha viwanja mbalimbali na ma swimming pool halafu ndio apaite state house
Umeona eeeh.........yani kama ulikuwepo kwenye akili zangu......anyway labda anayo hiyo plan.
 
Kabisa.....ifikie mahali sasa ajenge nyumba ya ukweli........ingawa hata hizi nazo amejitahidi ila ajitahidi zaidi.
 
The bold umenena Mkuu.Anajitahidi sanaaaaa maana nyota hufifiaga Mara Ney wa mitego anakuimba.
 
Ni muda muafaka sasa moja amp3 mwenzake manake nasikia anaishi gheto la kuanga Mpaka leo na dogo lake na ndo anaibiwa daily na vibaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…