Diamond aongoza YouTube

mtuandikie na taarifa wengine simu zetu hazina uwezo wa kukuza hizo screenshots sijui
Sent from my Nokia-Ya-Tochi using JamiiForums mobile app
Natamani nione hiyo simu yako nokia ya tochi[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Sent from Iphone 6 plus using Jamii forums mobile app

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona hii sio habari ya kusisimua au wewe ni msukule wa Madale?!
Kila ukichungulia kibakuli kapitwa hadi na kina Rayvanny na Harmonize kisha wenyewe munamuita "king" hadi ukaamua kudai kusisimuliwa si mchezo.
 
Ungo na umbea#OMG

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Kila ukichungulia kibakuli kapitwa hadi na kina Rayvanny na Harmonize kisha wenyewe munamuita "king" hadi ukaamua kudai kusisimuliwa si mchezo.
Sawa Zari nimekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…