Diamond aongozi kuwa na Subscriber wengi Tanzania Youtube, yupo Bongostars anao Million1

Richson16

Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
37
Reaction score
13
Leo kwenye account ya Wasafi.com wameweka kwamba diamond platinum ndo anaongoza kuwa na subscriber wengi 600,177 kwa tanzania akifatiwa na Milladyayo na Global Tv hizi ni kwa mujibu wa Youtube kwa Channel zilizoweka Subscriber wake Public lakini yupo BongoStars ambaye subscriber wake aliwaweka Private na leo nazani ameamua kuwawrka Public.

Bongostars ana subscriber zaidi ya Million1 na jambo ambalo ckulifahamu kirahisi mpaka pale nilipokuja kushuhudia Leo.
But me mwenyewe nilikuwa najua Diamond Platinum from Wasafi.com ndo anayeongoza lakini kwa nilichoshuhudia leo ni hatari Youtube.

Home - mapacha24


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitembelea hiyo Bongo Stars, haioneshi idadi ya subscribers... jibu la haraka haraka ni kwamba channel wamei-set "Hide Subscribers"!!

Sasa kama wana subscribers wengi kiasi hicho, kwanini wafiche idadi yake wakati idadi ya subscribers ni biashara mzuri sana kwa Youtubers?!

Au unatangaza channel yako kwa kutumia hilaa?

Btw, Diamond anayepata Viewers throughout Sub Saharan Africa, hajafikisha Subs 1M. Millard Ayo anayetumia Radio kujitangaza, tena radio ambayo wasikilizaji wake ndio watumiaji wa mitandao; nae hajafikisha Subs 1M!

Ali Kiba ana mashabiki kindaki ndaki the whole of East Africa lakini sidhani hata kama 300K ameshafikisha!

Kinyume chake, wewe ambae content za Youtube yako hata Uganda hawawezi kuzifuatilia lakini ndie mwenye Subs 1M.

Au nimeangalia BongoStars tofauti? Hebu weka the right link na ondoeni hiyo option ya HIDE SUBS
 
kwa jinsi nilivoelewa concept hapo ni kwamba diamond ndiye msanii anayeongoza kwa subscribers wengi wa youtube hapa tanzania so kawapita wasanii wenzake kwenye upande huo, ila akaunti yake ya youtube siyo akaunti pekee inayoongoza kwa subscribers wengi hapa tanzania.
 

Millard ayo naye msanii? Global tv nao wasanii?
 
Vjana Wa Cku Hz Unafkr Kuna Kitu Kichwani! Ss Ayo Nae Ni Msanii? Diamond Anashabkiwa Wa Wengi Wenye Upeo Mdogo Hasa Uswazi. Kwa Post Yako Unatuhimiza Nacc Tukanunue Au? Tukzpenda Tutanunua Co Lazma Utulingishie. Diamond Hana Cha Kuimba Saiz, Analazmisha Tu Kufanya Vdeo Za Gharama, Mnaona Raha Tu Mkiona Magar Ya Kfahar Kwenye Vdeo Bac Ndo Mnaona Wimbo Mzr. Cku Hz Co Ktu Cha Ajabu Kuckia Ukuti Ukuti, Wameme Wameme Kwenye Baadhi Ya Mistari Kwenye Nyimbo Zake.
 
Pale chuki inapozidi kimo.
Unakuwa kama zuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukizeeka lazima uwe mchawi.!
 
Andika vizuri basi sio Facebook hapa ebo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Binti andika vizuri.
 
Mi nimefungua youtube account na kupost videos zamani kuliko wote hao nina Subs 64tu. Dah
 
Naona Vmada Wa Domo Wananishambulia. Mm Nmeanza Kumfatilia Diamond Mda Mrefu Pengine Kuliko Nyie Na Hadi Leo Napenda Kaz Zake Km Mari, Kesho, Lala Salama Na Hata Ule Aloimba Na Papa Wemba. Na WCB Wanafanya Vzr Mf. Harmonize Na Reyvan Wanajitahd Sna. Nmeona Nyimbo Mpya Za Kaka Yao Wala Hakuna Jipya Zaid Na Vdeo Za Gharama Na Promo. Na Kwa Ss Hana Ngoma Ya Kuzshndanisha Na Ngoma Za Wadogo Zake, Ngoma Za Harmonize Na Ray Ni Kali, Chibu Ths Time Kaforce. Atulie Aumize Kichwa, Atoe Wimbo Hata Mmoja Lkn Watu Wenye Akiri Zetu Tumuelewe Co Nyimbo 3 Af Moshi Mtupu, Na Wala Actutafsirie Nyimbo Za Nje Km Ule Wa Will U Still Lo Me The Same Maana Cc Lugha Ya Bibi Tunaijua, Labda Wa Tandale. Kuhusu Mwandiko Wangu, Hyo Ilikua Kaz Ya Mwl Wangu Wa Std.2, Nyie Kwa Ss Mshachelewa Maana Nmeshakubuhu.
 
Mi nimefungua youtube account na kupost videos zamani kuliko wote hao nina Subs 64tu. Dah
inabidi tukuchukulie hatua ya copyright unajipatia pesa kupitia YouTube Monetization system kwa video za watu.
 
Samahani ma'mdogo,hivi haya yote uliyoandika ndivyo alivyokutuma Alikiba ??
 
Pole sana,chuki ikikomaa sana huzaa mauti[emoji23]!!Chinu yupo sana tu,na ataendelea kuwakimbikiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Millard ayo naye msanii? Global tv nao wasanii?

hujaelewa soma vizuri tena kwa makini nilichokiandika.

wcb wasafi insta page yao wamesema diamond ndo msanii anayeongoza kwa subscribers wengi wa youtube tanzania so unachotakiwa kufanya ni kuangalia na akaunti za wasanii wenzake wa hapa tanzania je ni kweli subscribers wao hawajazidi wa diamond? so muweke diamond kwenye kundi la wasanii pekee utaona hiyo statement iko sawa kabisa ila ukimuweka diamond na online medias basi lazima hiyo statement ya insta hapo juu utaiona iko wrong.
 
True mkuu
 
Nina shaka na elimu yako,unatia huruma.You challenge what's on the platform with tangible points, so shameless. Ningependa kufahamu jinsia yako kwa hizo "Cku Hz" na bla bla nyingine za aina hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwenye upeo mkubwa tena wakishuani hata kuandika hujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…