Diamond aonyesha Hundi ya pesa aliyokabidhiwa na UAP kupitia CRDB

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Diamond Platnumz ameendelea kuwa na updates kila kukicha na hii ya leo ni baada ya ukuta wa nyumba yake kudondoka, Benki ya CRDB kupitia kitengo chake cha insurance imemkabidhi diamondi hundi ya hela kwa ajili ya kujengea ukuta wa nyumba yake.

diamond.png
 
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara
 
Mkuu kama huelewi vitu uwe unapiga kimyaa. Hizi ni taaluma za watu.
 
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara

wrong info
 
Halafu na huyu ni graduate.
 
Teh teh...

Kwa hiyo bima hulipa kutokana na aina gani ya maafa?

Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara
 
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara
Aiseeee
...flood insurance?
Insurance against flood?

Kilipotokea kimbunga cha katrina nchini marekani kupitia Bima hii watu walikuwa covered!
 
Watanzania wanaakili ndogo sana hamjui kuwa dai anafanya tangazo la CRDB kiujanja ujanja,!! Mnakumbuka lile bifu la dai na kiba!!, daimond alipost maneno ya kumkashfu kiba halafu kiba akajibu kwa upole akawawekea na link kabisa kama alichokifanya dai kwa CRDB leo,, halafu nyie mashabiki mnaishia kutukanana watu wameshakunja noti, tumieni akili!!!! mjini hapa
 
Ni wangapi wanalipwa insurance na kuonyesha dummy cheque kubwa?! Hio ni zaidi ya insurance,ni tangazo la hio kampuni na huduma zao! Sina maana kuwa Chibu hajalipwa..
 
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara

ndugu yangu wewe kinachokutesa ni wivu na hutoweza kuelewa BIMA ya makazi ya UAP itolewayo na CRDB BANK mpaka utakapopona ugonjwa wako wa kuwaonea wivu vijana wenzio.
 
Watanzania wanaakili ndogo sana hamjui kuwa dai anafanya tangazo la CRDB kiujanja ujanja,!! Mnakumbuka lile bifu la dai na kiba!!, daimond alipost maneno ya kumkashfu kiba halafu kiba akajibu kwa upole akawawekea na link kabisa kama alichokifanya dai kwa CRDB leo,, halafu nyie mashabiki mnaishia kutukanana watu wameshakunja noti, tumieni akili!!!! mjini hapa

kwaiyo wewe hapa umetumia akili sasa?
 
Jana serikali imetoa ruksa kwa benki mbili hapa nchini kutoa huduma za kibenki kwa akaunti zote za serikali na wafanyakazi wa serikali sasa ruksa kufungua akaunti na kuhudumiwa na benki yoyote kati ya NMB na CRDB BANK. Hivyo halmashauri zote nchini zinatakiwa kuchagua benki ipi itahudumia katika halmashauri husika mapema wiki ijayo.
[/IMG]
Mimi natoa pongezi kwa benki hizi mbili na hii ni nafasi yenu sasa kuonyesha mko vizuri kuhudumia serikali na wafanyakazi kwa ufanisi. Fungua kiambatanisho cha barua kwa maelezo zaidi
 
Ona hiyo siyo crdb pekee hata usijifanye bank zingine hazifanyi vizuri nimeona niweke na hiyo ya nmb nao wamo jamani tuwape haki yao
 
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara

Hujui halafu hujui kuwa hujui!!
 
Bima gani inayolipa nyumba kuanguka kwa mafuriko? ....nachokijua ni kuwa bima huwa hailipi kitu kilichosababishwa na natural disaster. .....surnami, tetemeko la ardhi, mafuriko vyote hivi bima huwa hailipi kama vinatokea na kuharibu Mali. Watuambie tu wanatangaza biashara

It's called Fire and Allied Perils ambayo hata flood claim will be covered accordingly
 
Back
Top Bottom