kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Hifadhi ya taifa Diamond platinumz amepewa shavu kuwepo katika kampeni ya The Global Goals ambayo inahusikana na vita ya kutokomeza umasikini, njaa, maradhi na matatizo mengine katika bara la Africa na miongoni wa washiriki wa hii kampeni ni mchezaji Gareth Bale wa Real Madrid.
Na hivi tunavyozungumza hifadhi ya taifa letu Diamond yupo South Africa kurekodi wimbo maalumu kwa ajili ya hii kampeni uitwao Tell every one na ataimba na kundi la mafikizolo toka South Africa.
Na hivi tunavyozungumza hifadhi ya taifa letu Diamond yupo South Africa kurekodi wimbo maalumu kwa ajili ya hii kampeni uitwao Tell every one na ataimba na kundi la mafikizolo toka South Africa.