Hiv angekuwa ukawa je??mashabiki wake walio ccm nao je wangefanyaje??wanikumbusha kipindi kile cuf na ccm kwetu pemba! Ndugu zangu walikuwa hawasemeshani kisa wapo vyama tofaut!! Ila baada ya seif kuingia madarakan kuwa makamu wa rais wakaona ujnga tu hizi siasa!!sa hiv wanapatana utadhan hawakuwahi kugombanaAaaah me simpendi siku hizi nanishafuta nyimbo zake zote kwenye memo yangu baada ya kuona anawasupport majiz maccm
woyooooo!!wapi mr tembooo
sasa bale kiba yupo na beckam na mtoto wa malikia wa uingereza kwenye wildaid ambassador
Hifadhi ya taifa Diamond platinumz amepewa shavu kuwepo katika kampeni ya The Global Goals ambayo inahusikana na vita ya kutokomeza umasikini, njaa, maradhi na matatizo mengine katika bara la Africa na miongoni wa washiriki wa hii kampeni ni mchezaji Gareth Bale wa Real Madrid.
Na hivi tunavyozungumza hifadhi ya taifa letu Diamond yupo South Africa kurekodi wimbo maalumu kwa ajili ya hii kampeni uitwao Tell every one na ataimba na kundi la mafikizolo toka South Africa.
ungejua ungenyamaza tu ndugu yanguu...maana unaodhan utawaumiza ndugu yao yupo na Beckham,Yao Ming,Jackie Chan,Mtoto wa Malkia wa Uingereza,Hasheem Thabeet...Dah....ungejua ungetulia tu
woyooooo!!wapi mr tembooo
Kazi yake kupiga selfie neyo... wakila tende