Diamond apate msaidizi wa kubeba tuzo 6 nzito kili awards

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
nimeingia teentz.com mara nikaona sehem ya kupiga kura kili Music Awards 2012 mara vuuuup jamaa yupo ndani ya tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kiume ///// Mwimbaji Bora wa Kiume////// Wimbo Bora wa Mwaka/////Mtunzi Bora wa Mwaka/////Video Bora ya Muziki ya Mwaka /////Wimbo Bora wa Afro Pop //// la jamaa nikaona apate msaidizi
 
Mmmmm..... Wacha nikampigie, nimefurahi alivyomuacha Wema Pepeta, alikuwa ananikera kutembea na lile li-kahaba la jiji!!!!
 
Anaandaliwa mazingira avunje rekod ya 20%
Iwa mwema
Wakatabahu
Adharusi
 
nimeingia teentz.com mara nikaona sehem ya kupiga kura kili Music Awards 2012 mara vuuuup jamaa yupo ndani ya tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kiume ///// Mwimbaji Bora wa Kiume////// Wimbo Bora wa Mwaka/////Mtunzi Bora wa Mwaka/////Video Bora ya Muziki ya Mwaka /////Wimbo Bora wa Afro Pop //// la jamaa nikaona apate msaidizi
Hiyo ya "mtuimbuzaji bora wa kiume" lazima aipate! dogo anabamba kwa shoo zuri!! na steji anatawala vizuri sana hakuna wa kumzuia!!!
 
mh" kipenzi cha mabint" hivi ni kweli mi binti ila sijui kama kweli.
 
kila la heri japokuwa mi sipendi nyimbo zao, mavazi na mapozi
 
kipenzi cha mabinti???
Nitamshangaaa sana binti great thinker wa jf akimvulia huyu MSHAMBA
 
We bonge la pimbi!unamwekea dhamana demu!eti binti great thinker!!!mwanamke hawekewi dhamana kuvua chupi!hawa bongo flava wanyama wanakula mizigo kuliko unavyoweza kufikiria, utakuta demu wako anawish uwe kama diamond!!!!
 
Mwambiye huyo naona ajakulupuka tu,Mx
 
mabinti hawawezi kuacha kumpenda huyo jamaa! jamaa anajua kuimba alaf ndio mabinti wanajilegeza hawezi kuwaacha.
 
Back
Top Bottom