Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Mmmmm..... Wacha nikampigie, nimefurahi alivyomuacha Wema Pepeta, alikuwa ananikera kutembea na lile li-kahaba la jiji!!!!
Hiyo ya "mtuimbuzaji bora wa kiume" lazima aipate! dogo anabamba kwa shoo zuri!! na steji anatawala vizuri sana hakuna wa kumzuia!!!nimeingia teentz.com mara nikaona sehem ya kupiga kura kili Music Awards 2012 mara vuuuup jamaa yupo ndani ya tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kiume ///// Mwimbaji Bora wa Kiume////// Wimbo Bora wa Mwaka/////Mtunzi Bora wa Mwaka/////Video Bora ya Muziki ya Mwaka /////Wimbo Bora wa Afro Pop //// la jamaa nikaona apate msaidizi
Mmmmm..... Wacha nikampigie, nimefurahi alivyomuacha Wema Pepeta, alikuwa ananikera kutembea na lile li-kahaba la jiji!!!!
kipenzi cha mabinti???
Nitamshangaaa sana binti great thinker wa jf akimvulia huyu MSHAMBA
Mmmmm..... Wacha nikampigie, nimefurahi alivyomuacha Wema Pepeta, alikuwa ananikera kutembea na lile li-kahaba la jiji!!!!
Mwambiye huyo naona ajakulupuka tu,MxWe bonge la pimbi!unamwekea dhamana demu!eti binti great thinker!!!mwanamke hawekewi dhamana kuvua chupi!hawa bongo flava wanyama wanakula mizigo kuliko unavyoweza kufikiria, utakuta demu wako anawish uwe kama diamond!!!!