mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Ruge anamtumia Shonza kumharibia dogo Watanzania bure kabsa hongera Diamond, watapambana tu but muda ndiyo mwalimu mzuri.View attachment 715027
Historia inaandikwa ni heshima kubwa pia kwa mziki wetu wa Tanzania.
Viva Diamond.
View attachment 715027
Historia inaandikwa ni heshima kubwa pia kwa mziki wetu wa Tanzania.
Viva Diamond.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ali kiba na yeye kapewa ardhi Marekani
Wapi team Kiba?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]View attachment 715027
Historia inaandikwa ni heshima kubwa pia kwa mziki wetu wa Tanzania.
Viva Diamond.
Kwa kenya robo heka ni ardhi kubwa sana huwezi kuelewa mpaka wajuvi tunaoijua Kenya kinaga ubaga tukufafanulie.Robo heka nayo ni ardhi ya kukaa star!garden,parking,swimming pool,courts au ndio bora kitu kuliko kukosa kitu
Hebu fafanua kama iko njema tukanunue viwanja hukokwa kenya robo heka ni ardhi kubwa sana.
huwezi kuelewa mpaka wajuvi tunaoijua kenya kinaga ubaga tukufafanulie.
AMENNarudia tena kusema huyu ' Jamaa ' mtamsema, mtamtusi na kumdhihaki kadri muwezavyo ila matunda ya Kazi zake, Kujituma Kwake, Kuwa mbunifu na Kujipanda ndiko kila siku kunamweka na bado kutamweka Kileleni Kimafanikio. Nasib Abdul ( Diamond Platinumz ) anatupa ' Funzo ' zuri na kubwa sana akina Sisi wenye ' akili kulala ' au ' akili mlegezo ' kama si ' akili goigoi ' kupambana na kutokata tamaa katika kuyatafuta mafanikio ya kweli.
Namuombea kwa Mwenyezi Mungu ( Allah ) mafanikio zaidi na hakuna Siku ambayo nimewahi kumuombe Mtu ' baraka ' kwa Mwenyezi Mungu na asinijibie Kwake hivyo naamini Nasib Abdul ( Diamond Platinumz ) atazidi kuwa juu na juu na Sisi wengine tusichoke kumchukia, kumteta, kumdharau na kumzushia kwani yawezekana hii roho mbaya Yetu Kwake basi Maulana ndiyo anaigeuza kuwa Shani na Baraka Kwake.
Naona umetumia fursa kupiga kijembe cha kiaina.kwa kenya robo heka ni ardhi kubwa sana.
huwezi kuelewa mpaka wajuvi tunaoijua kenya kinaga ubaga tukufafanulie.