Diamond apigwa marufuku kuingia ujerumani, kisa €250?

Diamond apigwa marufuku kuingia ujerumani, kisa €250?

Goldman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
1,930
Reaction score
2,401
Manager wako juzi juzi tuu hapa katangaza kuwa mna pata zaidi ya $15,000/= kila show.

Iweje leo ushindwe kuingia ukumbini kwa muda muafaka kisa hujamaliziwa €250?

Haya sasa wamekupa ban ya kutoingia Ujerumani tena ni kiasi gani cha fedha na mashabiki uliopoteza kwa ajili ya hiyo €250?

Inakuingia akilini kweli kupanda jukwaani saa kumi asubuhi?

Hata kama hawakukumalizia hiyo balance ya €250 ungejiongeza?
 
Kama ni kweli basi pole yake maana ni majanga ++.
Ila pia nampongeza kwa kustick kwenye makubariano ya mkataba maana yuko kibiashara zaidi kama mkataba walikubariana pesa kadhaa hata ikose shs kumi ina maana mhusika anakuwa kavunja makubariano hivyo kuufanya mkataba kuwa void.
Sema tatizo la walio wengi tumezoea kufanya business as usual kila kitu kwetu poa lazima dogo aonekane ndiyo mwenye makosa wakati alikuwa anakomaa apewe chake.
By the way according to statement yake inaonekana alikuwa ashalipwa malipo ya awali hiyo £3250 yalikuwa malipo yaliyobaki ili ku balance malipo kamili na ndio utaratibu wa wanamziki wengi.
Ila ka kapigwa ban itamcost aiseee...
 
£250 si alitakiwa kulipwa lkn?

Alifanya poa sana kukomalia salio lililo baki.
 
Manager wako juzi juzi tuu hapa katangaza kuwa mna pata zaidi ya $15,000/= kila show! Iweje leo ushindwe kuingia ukumbini kwa mda muafaka kisa hujamaliziwa €250?, haya sasa wamekupa ban ya kutoingia ujerumani tena ni kiasi gani cha fedha na mashabiki uliopoteza kwa ajili ya hiyo €250? Inakuingia akilini kweli kupanda jukwaani saa kumi asubuhi! Hata kama hawakukumalizia hiyo balance ya €250 ungejiongeza!

JF siyo sehemu ya kulisha watu matango pori, unajuwa kama German wanatumia Sheghen viza?

Kabla hujanipotezea muda wa kutiririka zaidi weka hapa source ya hii habari yako.
 
Ina maana diamond alienda germany kupiga show kwa mkataba wa £3500???
Si bora angebaki kwenye show za Fiesta na Kili!
 
ukitaka ubaya dai chako
afu tushajua kumbe mbwembwe za za milioni 20 uongo mtupu
sijui kwa nn anadanganya
 
by geniveros;
ukitaka ubaya dai chako
afu tushajua kumbe mbwembwe za za milioni 20 uongo mtupu
sijui kwa nn anadanganya




Hapo sasa sifaaa kibaooo kumbee hamna kituu??
 
Kwani hiyo hela ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?
 
kk

Ili tumwone tawi la juu

anajitia aibu tu
mbona watu wanamkubali sana
atakuja kudharaiulika asa hv watu washajua dau lake
wataanza kumpotezea wanamwita akichomoa wanamchukua mwingine mwenyewe atasanda
mi japo si mshabiki wake ila nilikua namkubali anvyosema anachukiwa kwa 20mill
ila asa hv tushajua ndo maana sinki tegeta haliishi
 
Ina maana diamond alienda germany kupiga show kwa mkataba wa £3500???
Si bora angebaki kwenye show za Fiesta na Kili!
ndo hapo ushangae.wkt hapa kwetu anadai bila mil 10 hapigi mzigo.kumbe ndo mana hamalizagi kujenga?watu wengine wanna sofa za kijinga kweli
 
by geniveros;
ukitaka ubaya dai chako
afu tushajua kumbe mbwembwe za za milioni 20 uongo mtupu
sijui kwa nn anadanganya




Hapo sasa sifaaa kibaooo kumbee hamna kituu??

Wewe hufikirii mtu analipwa 20m nyumba ana miaka 10 haiishi.
 
WE jamaa vipi? Unaweza usiwe na mapenzi na mtu lakini kum-dis kwavile amegoma kupanda jukwaani hadi amaliziwe chake unaonesha wazi kwamba una chuki za hovyo hovyo!! Watu mlivyo wa ajabu... hapo kama ingetangazwa ametiwa ndani Euro 250 mngekuja hapa na kumuona fara hawajui wa-Nigeria!!!
 
anajitia aibu tu
mbona watu wanamkubali sana
atakuja kudharaiulika asa hv watu washajua dau lake
wataanza kumpotezea wanamwita akichomoa wanamchukua mwingine mwenyewe atasanda
mi japo si mshabiki wake ila nilikua namkubali anvyosema anachukiwa kwa 20mill
ila asa hv tushajua ndo maana sinki tegeta haliishi
Dau lake shilingi ngapi?? Tatizo watu wengi hamkuisoma vizuri ile taarifa ya yule inayesemakana alikuwa ndie Promota!! Kwenye ile taarifa hakutaja kiwango alicholipwa Diamond bali alichotaja ni balance ambayo Diamond alikuwa anadai! Balance yenyewe ndo hiyo Euro 3250... Diamond akagoma kupanda jukwaani hadi kwanza alipwe hiyo Euro 3250... akapewa Euro 3000, bado akagoma... lazima amaliziwe chake!! Ajabu watu mnam-dis kwavile tu amekataa kuwa fa*ra! Kuna wasanii au wanamichezo wangapi wanashindwa kulipwa chao kv tuwalifanya show kabla hawajalipwa??
 
kk

Ili tumwone tawi la juu

10646746_863554430323079_4990518870035868343_n.jpg
 
Back
Top Bottom