Manager wako juzi juzi tuu hapa katangaza kuwa mna pata zaidi ya $15,000/= kila show! Iweje leo ushindwe kuingia ukumbini kwa mda muafaka kisa hujamaliziwa 250?, haya sasa wamekupa ban ya kutoingia ujerumani tena ni kiasi gani cha fedha na mashabiki uliopoteza kwa ajili ya hiyo 250? Inakuingia akilini kweli kupanda jukwaani saa kumi asubuhi! Hata kama hawakukumalizia hiyo balance ya 250 ungejiongeza!
kkukitaka ubaya dai chako
afu tushajua kumbe mbwembwe za za milioni 20 uongo mtupu
sijui kwa nn anadanganya
kk
Ili tumwone tawi la juu
Kwani hiyo hela ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?
ndo hapo ushangae.wkt hapa kwetu anadai bila mil 10 hapigi mzigo.kumbe ndo mana hamalizagi kujenga?watu wengine wanna sofa za kijinga kweliIna maana diamond alienda germany kupiga show kwa mkataba wa £3500???
Si bora angebaki kwenye show za Fiesta na Kili!
by geniveros;
ukitaka ubaya dai chako
afu tushajua kumbe mbwembwe za za milioni 20 uongo mtupu
sijui kwa nn anadanganya
Hapo sasa sifaaa kibaooo kumbee hamna kituu??
Dau lake shilingi ngapi?? Tatizo watu wengi hamkuisoma vizuri ile taarifa ya yule inayesemakana alikuwa ndie Promota!! Kwenye ile taarifa hakutaja kiwango alicholipwa Diamond bali alichotaja ni balance ambayo Diamond alikuwa anadai! Balance yenyewe ndo hiyo Euro 3250... Diamond akagoma kupanda jukwaani hadi kwanza alipwe hiyo Euro 3250... akapewa Euro 3000, bado akagoma... lazima amaliziwe chake!! Ajabu watu mnam-dis kwavile tu amekataa kuwa fa*ra! Kuna wasanii au wanamichezo wangapi wanashindwa kulipwa chao kv tuwalifanya show kabla hawajalipwa??anajitia aibu tu
mbona watu wanamkubali sana
atakuja kudharaiulika asa hv watu washajua dau lake
wataanza kumpotezea wanamwita akichomoa wanamchukua mwingine mwenyewe atasanda
mi japo si mshabiki wake ila nilikua namkubali anvyosema anachukiwa kwa 20mill
ila asa hv tushajua ndo maana sinki tegeta haliishi
kama 6mils na ushee hivi wa laki laki