Diamond apost ujumbe wenye mafanikio makubwa

Basi niseme tu hapa kuwa ni haja ya moyo wangu Mungu akufunulie neema ya kumjua katika muda ambao yeye ataona ni sahihi. Kila mtu ana siku yake ya kukabidhi maisha yake kwa Kristo. Nina uhakika hata na wewe siku yako IPO.

Mmmmmm!!!!

Unajuaje kuwa simjui muumba wetu? Hii kitu mtu hawezi mjaji mwingine ajuae ni yeye tu aliye juu ya yote.
 
mzukwamb post: 16781793 said:
Mmmmmm!!!!

Unajuaje kuwa simjui muumba wetu? Hii kitu mtu hawezi mjaji mwingine ajuae ni yeye tu aliye juu ya yote.
Mzabibu unaweza kuzaa zambarau?
 
Hii msg ulikua kwa Alteza baby?yai limenyooka balaa.
 
Team Diamond vs Team Preacher [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Nice one Jane. Ingawa naona unarukia kweli...full mapovu!
 
Kiba ana kazi sana,yaani amtambuke Harmonize,halafu Raymond ndio akutane na Diamond
 
Preach Sister!
 

oh! halelujah i feel the holy spirit right here men
 
aro wengine hatujui kiingereza tumesoma kanjenje secondary school na ngeli nilipata z so tumieni kiswahili jane lowassa
 
hakuna dhambi mbaya kwa mwanadamu kama kujiona yeye ni mtakatifu na anastahili mbele za Mungu kuliko wengine,hii ni dhambi mbaya kuliko, kila kitu ni kwa neema za Mungu tu, sisi sote hatustahili mbele zake maana tu wazambi
 
Ulokole jf,kweli jf imevamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…