TEKNOLOJIA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 4,305 Reaction score 2,563 Apr 1, 2016 #1 Nyota wa My Number One Diamond Platinum amekamilisha kibao chake kipya akimshirikisha mzee mzima Chris Brown, wimbo huo unatarajiwa kutoka wakati wowote kuanzia sasa. Stay tuned.
Nyota wa My Number One Diamond Platinum amekamilisha kibao chake kipya akimshirikisha mzee mzima Chris Brown, wimbo huo unatarajiwa kutoka wakati wowote kuanzia sasa. Stay tuned.
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 6,696 Reaction score 6,734 Apr 1, 2016 #2 Ndio tarehe 1 April siku ya wazushi
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,433 Reaction score 56,810 Apr 1, 2016 #3 April 1
Antennah JF-Expert Member Joined Oct 14, 2015 Posts 6,754 Reaction score 8,750 Apr 1, 2016 #4 acha upuuzi huo, unamchukulia chriss wew? au ndo kisa skukuu yako leo
nyumbatatu JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,076 Reaction score 939 Apr 1, 2016 #5 ...umejificha lakini tumekuona eeh!, ado!, adododo!, ado!, ....!. April 1.
hewizet JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 2,418 Reaction score 1,535 Apr 1, 2016 #6 Ngoja ifike saa nne kwanza
Lancashire JF-Expert Member Joined Sep 20, 2014 Posts 14,057 Reaction score 10,367 Apr 1, 2016 #7 Diamond amekufa.
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Apr 3, 2016 #8 Tunaisubiri