Jana nilimuona kiba anacheza mpira na masela wa ilala boma
Hiyo nyimbo wanayoperform hapo jukwaani inaitwaje mkuu maana nimeipenda mno
Watora mari - Jap prayzah ft DiamondHiyo nyimbo wanayoperform hapo jukwaani inaitwaje mkuu maana nimeipenda mno
Ni Jah prayzahWatora mari - Jap prayzah ft Diamond
Inamsaidia nini?Ni sehemu ya Documentary yake na wanyama wa Serengeti National Park.