Msanii diamond platnumz amekiri anamiezi zaidi ya 3 hajatuma matumizi ya watoto wake South kwakuwa mzazi mwenzake Zari haonyeshi ushirikina wa kumpa kuongea na watoto wake Tiffah na Nillan.
Anasema mwazo alikuwa anatuma dola 2000 kwa mwezi lakini ameacha hata tuma tena