Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808
Hongera,
hata hivyo asiishie hao wawili, aendelee kuzaa ilimradi
kapata mwanamke mwenye uzazi;
Mwanaume anahesabiwa watoto siyo pesa;
Za siku lakini Mamndenyi?Hongera,
hata hivyo asiishie hao wawili, aendelee kuzaa ilimradi
kapata mwanamke mwenye uzazi;
Mwanaume anahesabiwa watoto siyo pesa;
Wajinga ndio waliwao.......
Mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume.
“Yah kweli mimi ni baba kijacho,” Diamond alikiambia kipindi cha Leo Tena “Natarajia Mama Tiffa anipatie tena mtoto mwingine, atakuwa wa kiume,”
Aliongeza, “Na itakuwa mwezi Disemba mwaka huu! Baada ya hapo sitaongeza tena mtoto mwingine, ni muda wa kula bata sasa ndio unafata na watoto wetu wawili”
Diamond na Zari tayari wana mtoto mmoja wa kike, ‘Tiffa’ ambaye hivi karibuni atatimiza mwaka mmoja.
Kabisa mkuuWatoto ni baraka kutoka kwa Mungu, kama una uwezo wa kuwatunza na mama hana tatizo la kubeba mimba na yuko tayari kubeba mimba nyingine at least mbili au hata tatu basi hakuna ubaya wa kuongeza wengine wawili/watatu.
Ha ha haaaMi sitii neno ....... zaa tu kwa raha zako after all una financial support ya mumeo wa ndoa
Agiza soda hapo kwa mangi niletee risiti bili kwangu Mauza uzaMtoto wa Tandale kaumia hapa kwa li shankupe la kiganda kajiingiza kwenye domo la mamba yeye anajiona anakomoa, kumbe anajikomoa mwenyewe faida atakuja iona hapo mbeleni !! Kaingia choo cha kike,Time will tell.
saint I unajuaga mahabari ya town lol.... nahisi instagram hukosekani weweHamisa?
JinyongeeeeMtoto wa Tandale kaumia hapa kwa li shankupe la kiganda kajiingiza kwenye domo la mamba yeye anajiona anakomoa, kumbe anajikomoa mwenyewe faida atakuja iona hapo mbeleni !! Kaingia choo cha kike,Time will tell.