Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,142
Diamond Platnumz, ameshikwa makalio na mashabiki akiwa jukwaani, baada ya kuwageukia na kuanza kukata mauno kihasarahasara, jambo lililozua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii. Video
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inafikirisha sana mkuuKile kikuku alikuwa ana maanisha nn huyu jamaa.
Ni kweli mkuuKama ataumwa itakua mbaya
kama ataendelea kufanya shughuli zake bila tatizo kwenye tako lake yote sawa
Mkuu mashabiki wengine hawana kabisa adabu, kuna njemba inaonekana kabisa ikigusa mfereji wa maji takaIla makalio si ni ya kwake?
Kiba alifanya show ya heshima sana Mombasa. Labda kwa vile ni ukweni
Ila huyo tushamzoea kujiheshimu ni nadra sanaHii inafikirisha sana mkuu
Mashabiki nao wakishajua hujiheshimu wanapitia humohumo!Ila huyo tushamzoea kujiheshimu ni nadra sana
Vipi mbona unateseka mkuu! Ashikwe mwingine uhemkwe mwingine!Peleka yakwako na wewe wakayashike
Kweli shekhe wangu.Yule dogo mi mwenyewe simuelewegi harakati zake yaani yupo kichokochoko,we ona
1.Mara apake wanja
2.anakatika viuno vya ajabu ajabu(tazama mwimbo wa katika alioshirikishwa na navykenzo)
3.sikiliza vizuri mashairi yake mara sijui amber rutty,mara sijui mafuta yamefanyaje,sijui asafishe mtaro,yaani ana mambo ya kifirauni firauni,eti matako yapo ndindindi apake mafuta mgando
4.angalia sasa nguo zake,suruali anayovaa yule jamaa aisee we huwezi kuvaa sheikh wangu
5.mara avae kikuku,Mara atoboe pua
6.halafu nasikia eti yale manguo yenye marangirangi meeengi kama rainbow, eti ni bendera ya mashoga duniani,sasa nashangaa dogo ndo anayapenda kinyama yani,ata kwenye gari na ile ndege ya wasafi festival kayachora marangirangi yake..sasa leo ndo nasikia kashikwa tako,aisee nimehudhunika sana!!
Ila dogo mziki wake mzuri balaa,unaweza kuombea mkopo NMB...lakini ndo haufai kwa watoto wetu!
Ndio maana nimeshangaa kashikwa mwingine wewe roho inakutokaVipi mbona unateseka mkuu! Ashikwe mwingine uhemkwe mwingine!
Kumbe hata huelewi, haya shikamoo team mond, vp mnafungua shule lini?Ndio maana nimeshangaa kashikwa mwingine wewe roho inakutoka
Mwani amber rutty tigo ilikuwa ya jamuhuri?Ila makalio si ni ya kwake?
Kiba alifanya show ya heshima sana Mombasa. Labda kwa vile ni ukweni