Diamond ashinda tuzo kubwa za Africangroove nchini Senegal

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386


Diamond platnumz ameuanza mwaka 2017 kwa kishindo baada ya Jana kushinda tuzo nchini Nigeria kama most searched personality across Africa.
Habari njema kwake tena ni kwamba weekend hii ameshinda tuzo za Africangroove kipengele cha Artist of the year akiwashinda Wizkid, Tiwa Savage, Yemi Alade na Tekno.



Hata hivyo Tekno aliibuka mshindi wa wimbo bora wa mwaka kupitia wimbo wake wa Pana. Vipengelele hivyo vilikuwa vya non-French speakers artists.
 
Bila shaka hii nayo ya mchangani, maana wamejua watu wake tu.
 
Mleta mada, Usisahau kumshauri huyo unayempamba afanye muziki zaidi 2017..... hizi story za kanunua nini , kapata tuzo 3,4,&5 mfululizo....hazitusaidii sisi Watanzania wenzake.
 
Mleta mada, Usisahau kumshauri huyo unayempamba afanye muziki zaidi 2017..... hizi story za kanunua nini , kapata tuzo 3,4,&5 mfululizo....hazitusaidii sisi Watanzania wenzake.
Kwahiyo wewe huku kwenye hili jukwaa la CELEB ulitaka ukute habari zinazoelekeza namna bora ya kufuga kuku wa kienyeji si ndio........??
 
kwa maana nyingine ni jua limetoka leo
kawaida sana
 
diamond as usual nategemea kiba nae atakuwa na mwaka mzuri.big up kwake
 
Platnumz every day platnumz wale walinda tembo watahangaika sana
 
mwenzake anashinda za ulaya yy Senegal? akaze buti ipo siku nae atashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…