Diamond ashinda tuzo ya best male africa tuzo za Sound city MVP, awakalisha Davido na Wizkid

Diamond ashinda tuzo ya best male africa tuzo za Sound city MVP, awakalisha Davido na Wizkid

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mwaka 2018 umeanza vizuri kwa nyota wa Tanzania diamond platnumz baada ya usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria kulifanyika tuzo za Sound City MVP na kuudhuriwa na mastaa wote wa Nigeria.
Diamond alikuwa kwenye kipengele cha Best Male act Africa akichuana na nguli wengine kutoka Africa
Davido
Sarkodie
Olamide
Wizkid
Navio
Runtown
Diamond platnumz ( winner)
2face
Amekuwa msanii wa kwanza kutoka Africa mashariki kushinda tuzo hiyo

Best female act Africa akishinda Tiwa Savage kutoka Nigeria
Hata hovyo Davido aliibuka na tuzo 3 huku Wizkid akishinda 2
Cassper Nyovest aliibuka na tuzo ya msanii bora wa Hip hop
 
Big up mond unachokifanya kinaonekana brother maana wengne tunasikia wapo ila sisi hatujawahi ona anyway achana nao kwanza sio type yako
 
Hongera WCB kwa kununua Mjengo wa Bilioni moja na kushinda Tu(n)zo ya Kimataifa ambapo kwa Dunia ni WCB ndio wa kwanza kushinda,Hongereni sana,Tunasubiri TV na FM zenye level za DW/BBC kuja kufunika FM/TV za Duniani kote.
 
Rekebisha heading yako ya kishabiki

Hawajakalishwa na yeye...

Davido kapata tuzo 3, wizy 2 ..unasemaje wamekalishwa ...
 
Wabongo sijui mnanini kuna ulazima gani kwenye uzi wa mondi mumtaje kibamia?
 
Back
Top Bottom