Diamond ashinda tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume Afrika

Diamond ashinda tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume Afrika

Hizo tuzo zinaandaliwa na nani? Naomba kuuliza isije kuwa ameandaa Mange Kimambi
 
Hatuzitambui!
Zile za jana ndio zenyewe yaani huwezi pata hata kwa kununua
 
AY,Diamond,Harmonize na Dj D Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani.:
AY,Diamond,Harmonize na Dj D Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani. - millardayo.com

Tuzo za lemutuz aka kubwa jinga
Hizo tuzo zinaandaliwa na nani? Naomba kuuliza isije kuwa ameandaa Mange Kimambi

Nna mashaka na hizo tuzoo....

Mange ampe diamond?

Hatuzitambui!
Zile za jana ndio zenyewe yaani huwezi pata hata kwa kununua
 
Back
Top Bottom