technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mange ampe diamond?Hizo tuzo zinaandaliwa na nani? Naomba kuuliza isije kuwa ameandaa Mange Kimambi
AY,Diamond,Harmonize na Dj D Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani.:
AY,Diamond,Harmonize na Dj D Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani. - millardayo.com
Hizo tuzo zinaandaliwa na nani? Naomba kuuliza isije kuwa ameandaa Mange Kimambi
Nna mashaka na hizo tuzoo....
Mange ampe diamond?
Hatuzitambui!
Zile za jana ndio zenyewe yaani huwezi pata hata kwa kununua