Diamond ashutumiwa kuiba idea za H.Baba na Pasha katika ‘Nataka Kulewa’

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
1211.jpg
Baada ya ngoma ya Diamond kuachiwa jana muda mfupi tu baadae nyimbo hiyo imeleta utata mkubwa kutoka kwa wasanii wawili tofauti ikishutumiwa kuwa ni idea ya wimbo wa Pasha aliomshirikisha Tunda Man upande wa beats na jina la wimbo ni H Baba kwa upande mwingine.
Wakizungumza na kituo cha Clouds Fm kupitia segment ya 255 ya kipindi cha XXl Pasha anasema alipigiwa simu na mshikaji wake akiambiwa kuhusu kufanana kwa nyimbo hizo na kwamba yeye pasha anasema alirekodi mwanzoni mwa mwaka huu na kwamba beat iliyotumika inafanana kwa asilimia 100 na nyimbo yake, wakati H Baba yeye anasema jina la wimbo huo ni kama jina la wimbo wake.
Akiongea na bongo5 mchana wa leo H Baba alikwenda mbali na kusema yeye alikuwa studio na KGT akirekodi wimbo wake aliomshirikisha Q Chief ndipo Diamond naye alifika hapo studio akiwa anaenda kufanya chorus ya nyimbo ya Shetta inayoitwa Nidanganye.
Anasema baada ya kuingia studio na kuwakuta wao yaani H Baba na Q chief Diamond aliusikia wimbo huo na kumwambia kuwa ameufagilia na kuwapa big up kwa kazi nzuri lakini anasema cha ajabu ameshangaa jana anaambiwa kuna wimbo unaitwa Nataka Kulewa na alipokwenda kucheki kwenye net akakuta ni kweli Diamond ameachia wimbo wenje jina hilo.
Akiongea kwa uchungu kupitia simu H baba amesema ameibiwa wimbo wake na Diamond
 
hbaba asitafute jina kupitia kijana mtanashati platinumz

maneno gani ya kifala hayo unaandika ww! Wacha waseme maana wana uchungu wa kuibiwa, kama ww unamuona mtanashat kivyako kwe2 cc ni mwiz 2 kama wez wengine!
 
Beat ni kweli producer Maneck katoa copy na kuedit kdogo coz limefanana sana na la wimbo wa Pasha na Melody kidogo Diamond kaibia,ila hilo swala la Hbaba sina hakika sana na naona kama halina uzito coz kufanana kwa jina la wimbo sio kitu cha ajabu,labda angesema kaibiwa lyrics ningemuelewa
 
Hapa ndio pana tatizo tena tatizo kubwa
Kuanzia studio, management n.k
Kwanini studio isiwe na haki za beats zake ili hata mtu akiiba wawe na nguvu za kuwa sue?

H baba ana haki miliki ya wimbo, beat n.k

Kwanza sidhani kama yuko kwenye hiyo label

Kama anavyo aende mahakamani moja kwa moja
Kama hana asilalamike akae kimya....
 
Uo wimbo wa Nataka Kulewa mbona pia umefanana na Mama Kumbena wa Banana i mean midundo na melody..!!
 
H.baba madai yake hayana nguvu yani kufanana kwa jina si kigezo! Je tujiulize nani ana hati miliki ya wimbo ule?

Maneck nae ana tatizo la kufananisha beat sana, kuna wimbo wa tiptop mpya kama una miezi miwili beat yake haina tofauti na wimbo huo mpya wa diomond!
 
Mkuu bongo kuna producer basi?
Mtu alikuwa mpiga kinanda kanisani akajifunza kutumia FL anakwambia na yeye producer
 
FL studio hizo. Free software.
Hivi mnanichanganya mbona, Diamond kaiba beat au mashairi? Mbona kama beat kosa ni la producer? Kama mashairi mbona Nataka kulewa na Amekua hayaendani ata kidogo?

Nimesoma post humu celebrity forums nimekuta H Baba ana lalamika kuibiwa wimbo na diamond. Huo wimbo Pasha aliimba na Q chilla. So Diamond kacopy beat la Pash, mashairi ya H-baba
 
H.baba madai yake hayana nguvu yani kufanana kwa jina si kigezo! Je tujiulize nani ana hati miliki ya wimbo ule?

Maneck nae ana tatizo la kufananisha beat sana, kuna wimbo wa tiptop mpya kama una miezi miwili beat yake haina tofauti na wimbo huo mpya wa diomond!

Inaweza isiwe kigezo...lakini ukiangalia kwa upande mwingine circustances zinaonyesha kuna walakini...yaani uje studio unikute narekodi wimbo unaitwa 'nataka kulewa', kisha unisifie kuwa ni wiombo mzuri...kisha nawe utoe wimbo unaitwa 'nataka kulewa'...kuna walakini hapo hata kama lyrics hajakopi. Na anacholalamika H Baba ni kuibiwa 'idea' ya nataka kulewa..sio kuibiwa wimbo!
 
Huyo 'h.baba' aache kuongea utumbo! Kufanana kwa idea ya wimbo co tija.nyimbo ngapi zinafanana idea?
Bora 'pasha' aongee cuz ni kweli mdundo 'umelandana' kisawasawa.
 
mimi mwenyewe nimeshangaa,watu wana wivu sana
 
eh!, wiv nani amuonee wivu mwiz? acha kuongea u2mbo ww, kupenda gan huko mpka unashindwa kuuona ukweli? acha kasumba yako hiyo wezi lzma wafichuliwe bila kujali ye nani!
 
Mkuu bongo kuna producer basi?
Mtu alikuwa mpiga kinanda kanisani akajifunza kutumia FL anakwambia na yeye producer

daaaah!...........hapa umenigusa sana mkuu....kwamba nikipiga kinanda kanisani na kutumia free software kama FL siwezi kuwa producer mzuri!ladha ya muziki ,bila kujali ulikojifunzia muziki wenyewe wala kutumia expensive softwares,jumlisha ubunifu mwingi ndo humfanya producer bora bana!

mi nimejifunza na kupiga kinanda kanisani,nikatafuta kila nilichotaka na kudhani napaswa kufahamu kuusu muziki on line na nikajifunza pia production na natumia hiyo hiyo FL na najiamini sana na kazi zangu mkuu!sifanyi tu biashara ya muziki sema,i do it for fun!

na kama tatizo lako ni kujifunza church......mkuu chukuwa vijana hata kumi tu toka makanisa tofauti,waandikie muziki ata ghafla afu waache wakuchapie kama hujazimia!ubora uko tofauti kabisa jhamaa!!!!
 
maneno gani ya kifala hayo unaandika ww! Wacha waseme maana wana uchungu wa kuibiwa, kama ww unamuona mtanashat kivyako kwe2 cc ni mwiz 2 kama wez wengine!

sema hakuna kidude cha like kwny cm ningekugongea asee
 
daaaah!...........hapa umenigusa sana mkuu....kwamba nikipiga kinanda kanisani na kutumia free software kama FL siwezi kuwa producer mzuri!ladha ya muziki ,bila kujali ulikojifunzia muziki wenyewe wala kutumia expensive softwares,jumlisha ubunifu mwingi ndo humfanya producer bora bana!

mi nimejifunza na kupiga kinanda kanisani,nikatafuta kila nilichotaka na kudhani napaswa kufahamu kuusu muziki on line na nikajifunza pia production na natumia hiyo hiyo FL na najiamini sana na kazi zangu mkuu!sifanyi tu biashara ya muziki sema,i do it for fun!

na kama tatizo lako ni kujifunza church......mkuu chukuwa vijana hata kumi tu toka makanisa tofauti,waandikie muziki ata ghafla afu waache wakuchapie kama hujazimia!ubora uko tofauti kabisa jhamaa!!!!

Kabla sijakujibu nikuulize kitu?
Unatengeneza style gani ya mziki?
 
ni pm sample moja ya midundo yako..vp unaweza na kumix?
 
Back
Top Bottom