Diamond atajwa kuwania tuzo za The African Entertaiment Legends Awards (AELA), Nigeria

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386




Diamond platnumz ameendelea kung'aa africa baada ya kutajwa kwenye tuzo za magwiji wa music wa africa nchini Nigeria. Kwenye tuzo hizo za AELA, Diamond ametajwa kuwania vipengele 2.
**Kipengele cha 1 ni African legend artist of the year.
- P-square
- Dbanj
- Diamond platnumz
- Asa
- R2bees
- 2face
- Faze
- Reggie Rockstone

** Kipengele cha 2 ni Best collaboration.
  • Wizkid ft drake - Ojuelegba remix
  • Diamond platnumz ft flavour - Nana
  • Davido ft meek mill - Fans me
  • Flavour ft psquare - sexy rosey
  • Sarkordie ft ace - New guy
  • Dbanj ft akon - Feeling the nigga
  • Kiss daniel ft davido, tiwa savage - woju remix
  • Harrysong ft olamide, kcee, iyanya - Reggae blues
  • Patoranking ft wende coal - My woman
 
viva Mond BinLaden viva

kura zangu utazipata sana tu.
 
Shine bright like a diamond 🙂
 
Hizi tuzo nyingine Sasa hazina kichwa wala miguu .. Diamond,wizkid,davido ... ni malegends? Wakina Youssou ndour,fela kuti tuwaitaje Sasa? Tuzo uchwara hizo
 
Hizi tuzo nyingine Sasa hazina kichwa wala miguu .. Diamond,wizkid,davido ... ni malegends? Wakina Youssou ndour,fela kuti tuwaitaje Sasa? Tuzo uchwara hizo

Ungeanza kueleza unaelewa nini maana ya legend, kama ni kukaa kwenye sanaa miaka zaidi ya kumi au laaah hahahahahahah maana hata baba levo anamiaka zaidi ya 15 kwenye muziki na yeye legend??

Je ni mchango wa mwanamuziki kwenye game na ubora wake au aliyekaa kwenye game zaidi ya miaka 15??
 
Nyie kunguru mnajua maana ya legends? Au mmekutana wote wafuata mkumbo tu, mnajua maana ya legends? Mond,davido, ni malegends? Na kina koffi olomide na awilo longomba wataitwaje? Sina cha kuchangia kwenye uzi huu wa ovyo kabisa,mnachangia tu na hamjui mnachangia kitu gani, real idioty
 
A legend ( Latin , legenda , "things to be read")
is a narrative of human actions that are
perceived both by teller and listeners to take
place within human history and to possess
certain qualities that give the tale
verisimilitude. Legend, for its active and
passive participants includes no happenings
that are outside the realm of "possibility" but
which may include miracles . Legends may be
transformed over time, in order to keep it
fresh and vital, and realistic. Many legends
operate within the realm of uncertainty, never
being entirely believed by the participants, but
also never being resolutely doubted.
The Brothers Grimm defined legend as
folktale historically grounded. A modern
folklorist 's professional definition of legend
was proposed by Timothy R. Tangherlini in
1990


FROM WIKIPEDIA....

Ukisoma maelezo hayo unaona kabisa hiyo tuzo ni ya Diamond Platnumz the Legend himself, KING OF AFROPOP





PIGA KELELEEEEEEEEEE oyooooooo kunyooka lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…