Diamond atajwa mtanzania pekee kwenye list ya 100 most influential young africans

Na hizi VIDEO hapa chini, zinadhibitisha hilo. Hakuna hata video moja NILIOIWEKA ya MOMBASA HAPA.
Huyu kijana wamuache tu, level si za kufananishwa na msanini yoyete hapa nchini.Wote wanatakiwa wajifunze mazuri kutoka kwake kuendelea kubishana wakati ushahidi upo ni kukosa akili.Nakumbuka Christian Bella alishawahi kusema hakuna msanii bongo ambae hatamani kuwa kama Diamond, wote wanatamani kuwa kama yeye lakini ndo hivyo tena Diamond is Diamond
 
Nadhan Churchill wa Kenya hakosi hapo mchekeshaji mwenye vision kubwa Sana
 
Influential young Africans a.k.a wakimataifa yebo yebo
 
Sikubaliani na hii list kabisa. Yaani mtanzania pekee kuimba na R. Kelly tangu dunia ianze hajawekwa? Sasa sijui wana lengo gani. Itabidi management ifuatilie kujua vigezo gani vilitumika.
 
Kwa anvyopenda sita na kujionesha sishangai hahahaaaa ana influence nn labda nieleweshe huyu mtu wa mwisho kwenye list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…